Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

Nili sema huyu binti ana Tisha🀣😁
 
Nahisi Mmeo ni huyu...

 
Uzuri wa jf records hazifutiki
 
mumeo anafanya kazi gani hadi uamini ana hela
ukute naye maisha yamempiga, ila wewe unaamini ana hela na ni mbahili
 
No wazo zuri ata nawaza ila Na mtt mdogo anamiak 2 nikuenda kazn inabdi nibebe ndomana nilitaka biashar niwalipie ata ada mm nihangaike najua wao wapo shule mpk mda wakurudi nyumbani ninawapitia
Wapo watakubalian na wew uende tuu na mtoto , ila uaminfu na kujiongeza ndio kutakufany udumu, , tena unawez fany kaz nyumba mbili bila shda ni ratb zao
 
Pole sana kwa unayopitia ila nina swali kwako je unapoachiwa hiyo elfu 5 huwa unamshukuru mumeo au ndo ukiona hiyo hela ni maneno tu?? Nini kilipelekea mkakorofishana mpaka ukaenda kwenu??
Wanaume wanapitia changamoto nyingi ila wengi hawana pa kupatia faraja ndo maana wanaangukia kwenye ulevi. Mwanamke ukipewa hata 2000 kwanza onyesha shukrani na moyo wa kuridhika then unaongea nae kwa upole namna hiyo hela inakupa changamoto kubalance budget.
Mwanaume anapotoka kwenye mihangaiko yake hata kama amerudi amelewa jambo la kwanza isiwe kumkaripia kwa ulevi wake bali mpe pole kwa mishemishe zake na onyesha kumjali hata kama kalewa
DEAR WOMEN: wanaume udhaifu wao mkubwa uko kwenye utii na heshima. Ukimtii na kumheshimu mwanaume haijalishi ana hali gani utakula mema ya nchi unless huyo mwanaume hana akili vizuri
 
😁😁 Watu kwa kufukuaa makaburi Dah πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ukiachana na mumeo chapombe wewe unajishughulisha na nini?
 
Naamini kuna kitu kibaya umemfanyia mume wako

Hakuna mwanaume anayejitambua anaweza kuwa katili kwa watoto wake
 
Peleka kesi kwa wazazi wake au kwa aliyekufungisha ndoa. Andaa ushahidi wa kutosha. Biblia inasema mtu asiyejali watu wa nyumbani mwake ni mbayq kuliko asiyeamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…