Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

Mpuuzi wewe,yaan pesa ya mkopo ukasomee chuo,hzo akili au matope!!
Pesa ya mkopo ni Kwa ajili ya kuzalisha ,kusudi umudu kulipa na riba yake!!jitafute katika biashara unayoweza then fanya.

Kusomea pesa ya mkopo ndio mnakuja kulialia benki zinatoza riba kubwa,mara taasisi za mikopo ni kausha damu,sijui Samia tulipie marejesho nk kumbe ni wewe tu na akili zako za ajabu..

Hzo degree ni makaratasi tuu,nenda kafanye biashara na wekeza kwenye mamb yanayoonekana!!!
 
Nimemuelewa, hakuna nyumba ya million 20, then kujenga nyumba ya kuishi no kuzika pesa.
Kama umeajiriwa ajira ya kudumu!Fanya biashara unayoona itakupa manufaa!!

Kama upo kijijini madawa ya kilimo mifugo plus mbegu yatakufaa Kwa hiyo pesa uliyonayo!!

Endelea kufundisha huku ukifanya biashara!!

Je una Bachelor tayari!!?kama unayo inatosha kwa sasa,kusoma kupo hata uzeeni utasoma Tena open with no stress!!
Kusoma ni kuzika pesa pia bila kujua lini zitarudi!

Mi ni Bachelor mwenzio nitasoma masters pale nitakapo kua nafukuzia mchongo mwingine!!

No hayo tu!
 
Kama una nia kweli fanya kwanza utafiti wa unachotaka kukifanya kabla hujafanya kama ni biashara chagua ni aina gani ya biashara na zijue faida na changamoto zake alafu anzisha kwa mtaji mdogo kwanza kuangalia mzunguko ukiona inaleta faida ongeza mtaji taratibu taratibu , ila ukiingia mzima mzima bila utafiti unaweza kufilisika jumla
 
Kama ni mtumishi ni rahisi kupata viza ya masomo Ulaya ,USA au Canada wanachofanya wenzio unatafuta chuo unaomba viza unalipa ada ya mwaka mmoja then ukifika kule unafanya kazi za part time huku unasoma.
Ndani ya miaka 3 unapata cheti na mtaji wa kutosha ukirudi bongo unajenga apartment zako na kazini mshahara unaongezeka.
Au ukiona umepata unaandika una resign job kwa kuwaandikia barua.
Maisha ya pension sijui ajira ya kudumu unastaafu unapewa milioni 60 na pension kila mwezi yamewafanya watumishi wengi sana kuwa masikini.
Ukiwa nje unasanya kila baada ya miaka mitatu unarudi bongo unajenga apartment zako,mtu akufikii.
 
Kama umeajiriwa ajira ya kudumu!Fanya biashara unayoona itakupa manufaa!!

Kama upo kijijini madawa ya kilimo mifugo plus mbegu yatakufaa Kwa hiyo pesa uliyonayo!!

Endelea kufundisha huku ukifanya biashara!!

Je una Bachelor tayari!!?kama unayo inatosha kwa sasa,kusoma kupo hata uzeeni utasoma Tena open with no stress!!
Kusoma ni kuzika pesa pia bila kujua lini zitarudi!

Mi ni Bachelor mwenzio nitasoma masters pale nitakapo kua nafukuzia mchongo mwingine!!

No hayo tu!
Ukiwa na ajira ya serikali kusoma kuna lipa,uzeeni kupi majukumu ya ada yakianza asahau kusoma
 
Mpuuzi wewe,yaan pesa ya mkopo ukasomee chuo,hzo akili au matope!!
Pesa ya mkopo ni Kwa ajili ya kuzalisha ,kusudi umudu kulipa na riba yake!!jitafute katika biashara unayoweza then fanya.

Kusomea pesa ya mkopo ndio mnakuja kulialia benki zinatoza riba kubwa,mara taasisi za mikopo ni kausha damu,sijui Samia tulipie marejesho nk kumbe ni wewe tu na akili zako za ajabu..

Hzo degree ni makaratasi tuu,nenda kafanye biashara na wekeza kwenye mamb yanayoonekana!!!
Ingekuwa rahisi TU kufanya biashara wengi wangetoboa.
Biashara ni Giza.kupata au kukosa,cheti ni hazina ya kudumu
 
Kama unajua biashara ni vema ukafanya biashara kwenye suala la kusoma hapo ulipofika ni pa kubwa sana kama Kuna fursa yoyote ya kazi nzuri kisa elimu basi we utakuwa wa kwanza kupata
Kama unataka kusoma basi somea masuala ya ufundi kama simu computer umeme n.k hii itakuwa ni ajira Yako ya ziada kwanza utaisoma kwa mda mfupi lakini utaifanya kwa mda mrefu hata utakapostaafu
NB:biashara ni nzuri sna hasa za vifaa vya simu ,pikipiki ,au mazao jiepushe na biashara za nguo
 
Kasome kozi za afya nafasi ni ngumu ila unaweza ongea na mwajiri wako kwanza usikope pesa bila kujua Cha kufanya

Pili biashara Inahitaji muda na uangalizi wa kutosha wengi tunafeli kwenye muda kazi inakuhitaji biashara inakuhitaji
Kwenye ualimu muda tunao, pia nataka nioe mwanamke ambae anao uwezo wa kusimamia biashara,
 
Wakuu ushauri wenu ni muhimu Kwa kijana wenu hapa, Mimi ni Mwalimu wa physics na chemistry nipo nkasi-rukwa, form six nilipata division two PCB point 11, nipo kwenye kufundisha Mwaka wa pili Sasa, naona ni wakati wa kuwaza nje ya box.

Kwenye Ili Chaka nimekuta watu wapo zaidi ya miaka 10 lakini vilio ni vingi sana, nadhani nisipofanya maamuzi sasahivi nitaenda kua kama wao tu, hakuna kitakachoharibika,

Nina-acces ya kukopa million 15/20 NMB/HAZINA. Japo za hazina kuzipata ni ngumu mno, nawaza vitu viwili nikasome au nitafute biashara nifanye?

Course ambayo nimeplan kwenda kusoma ni bachelor degree in business statistics and economics nadhani kwamba nikimaliza hii naweza fukuzia na kufanyiwa re-categorization.

Vipi wakuu niendelee kushika chaki huku nikifungua biashara? Au niende kusoma TU?.
Mwaka wa pili kazini, unaenda kusoma miaka mitatu jumla sita..utarudi kusubiri recate..miaka mitatu..utarudi kazini unakuta hakuna nafasi ya hicho kipya ulichosomea...
Unaingia kwenye kundi la hao wanaolia.
 
Ingekuwa rahisi TU kufanya biashara wengi wangetoboa.
Biashara ni Giza.kupata au kukosa,cheti ni hazina ya kudumu
umewaza vibaya ndio maana unasema biashara ni giza.

biashara ni rahisi sana iwapo utakubali kufata kanuni za biashara husika..ni kama 1+1=automatic jibu ni mbili. Ndio maana nimemshauri ajitafute katika biashara anayoiweza,atafute maarifa yake then afanye.

Hicho cheti ataishia kuwa mwajiriwa tu na kutumikia wengine.
 
Back
Top Bottom