Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
Kama umeajiriwa ajira ya kudumu!Fanya biashara unayoona itakupa manufaa!!Nimemuelewa, hakuna nyumba ya million 20, then kujenga nyumba ya kuishi no kuzika pesa.
Akope ili ajenge nyumba?? Duuh akili za wapi iziMaisha hayarudi nyuma. Achana na mawazo ya kusoma. Songa mbele. Kopa ujenge nyumba ya kuishi.
Ukiwa na ajira ya serikali kusoma kuna lipa,uzeeni kupi majukumu ya ada yakianza asahau kusomaKama umeajiriwa ajira ya kudumu!Fanya biashara unayoona itakupa manufaa!!
Kama upo kijijini madawa ya kilimo mifugo plus mbegu yatakufaa Kwa hiyo pesa uliyonayo!!
Endelea kufundisha huku ukifanya biashara!!
Je una Bachelor tayari!!?kama unayo inatosha kwa sasa,kusoma kupo hata uzeeni utasoma Tena open with no stress!!
Kusoma ni kuzika pesa pia bila kujua lini zitarudi!
Mi ni Bachelor mwenzio nitasoma masters pale nitakapo kua nafukuzia mchongo mwingine!!
No hayo tu!
Kama hayupo jirani na miji mikubwa atakula mwenyeweFanya kilimo Cha viazi utanikumbuka Ila kiwe Cha nyakati
Ingekuwa rahisi TU kufanya biashara wengi wangetoboa.Mpuuzi wewe,yaan pesa ya mkopo ukasomee chuo,hzo akili au matope!!
Pesa ya mkopo ni Kwa ajili ya kuzalisha ,kusudi umudu kulipa na riba yake!!jitafute katika biashara unayoweza then fanya.
Kusomea pesa ya mkopo ndio mnakuja kulialia benki zinatoza riba kubwa,mara taasisi za mikopo ni kausha damu,sijui Samia tulipie marejesho nk kumbe ni wewe tu na akili zako za ajabu..
Hzo degree ni makaratasi tuu,nenda kafanye biashara na wekeza kwenye mamb yanayoonekana!!!
Kwenye ualimu muda tunao, pia nataka nioe mwanamke ambae anao uwezo wa kusimamia biashara,Kasome kozi za afya nafasi ni ngumu ila unaweza ongea na mwajiri wako kwanza usikope pesa bila kujua Cha kufanya
Pili biashara Inahitaji muda na uangalizi wa kutosha wengi tunafeli kwenye muda kazi inakuhitaji biashara inakuhitaji
Mwaka wa pili kazini, unaenda kusoma miaka mitatu jumla sita..utarudi kusubiri recate..miaka mitatu..utarudi kazini unakuta hakuna nafasi ya hicho kipya ulichosomea...Wakuu ushauri wenu ni muhimu Kwa kijana wenu hapa, Mimi ni Mwalimu wa physics na chemistry nipo nkasi-rukwa, form six nilipata division two PCB point 11, nipo kwenye kufundisha Mwaka wa pili Sasa, naona ni wakati wa kuwaza nje ya box.
Kwenye Ili Chaka nimekuta watu wapo zaidi ya miaka 10 lakini vilio ni vingi sana, nadhani nisipofanya maamuzi sasahivi nitaenda kua kama wao tu, hakuna kitakachoharibika,
Nina-acces ya kukopa million 15/20 NMB/HAZINA. Japo za hazina kuzipata ni ngumu mno, nawaza vitu viwili nikasome au nitafute biashara nifanye?
Course ambayo nimeplan kwenda kusoma ni bachelor degree in business statistics and economics nadhani kwamba nikimaliza hii naweza fukuzia na kufanyiwa re-categorization.
Vipi wakuu niendelee kushika chaki huku nikifungua biashara? Au niende kusoma TU?.
Maybe km ulivosema uoe mwanamke anaeweza kusimamia lkn yote Kwa yote maamuz ni YakoKwenye ualimu muda tunao, pia nataka nioe mwanamke ambae anao uwezo wa kusimamia biashara,
umewaza vibaya ndio maana unasema biashara ni giza.Ingekuwa rahisi TU kufanya biashara wengi wangetoboa.
Biashara ni Giza.kupata au kukosa,cheti ni hazina ya kudumu