Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

Baada ya kuchukua mawazo ya wengine Kaachini tuliza ubongo, tafakari, maamuzi yako yana maana sana,,,yafanyie kazi baada ya hapo n mwendo wa kuteleza
 
Kama vipi hamia town miji yenye vyuo,, uwe unapga masomo ya jion,,
 
Sikushauri uingie kwenye biashara kwa sasa .Jiendeleze kati ya maeneo yafuatayo kama una lengo la kuwa recategorized.Uandishi wa habari,Uhasibu au Mipango.

Article.
 
Kwenye ualimu muda tunao, pia nataka nioe mwanamke ambae anao uwezo wa kusimamia biashara,
Usije ukaoa mwanamke kwa leongo lolote la maendeleo utapotea oa kwa lengo la kuongeaa familia (kuzaa) hayo unayoyafikilia kichwani kwa wenzetu huwa hayapo ni wachache sana wenye mitazamo hiyo.
Chukua hii baadae utanikumbuka.
 
Chukua huu ushauri
 
Elimu ni hazina
Elimu haijawahi mtupa mtu ni suala la muda tu

Usijichanganye sana, nenda kasome
 
Mkuu naomba niku PM
 
Tupe mrejesho mkuu umeamua kudeal na inshu gani?

Kisomo

Business
 
Omba hazina wakukopeshe milioni 30 nusu yake nunua Toyota Vanguard used (itakuwa Uber) nusu yake invest kwenye kilimo cha ngano
 
Nenda kasome wewe.utafanyiwa rekate...hutajuta nakwambia.ila biashara utakosa mtu wa kusimamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…