Mkûu kuhusu Swala la Mwanamke kupata Pesa na kubadilika ni Jambo ambalo limetokea Kwa Wanawake wengi Sana sio Tanzania tuu Bali Duniani.Matokeo ni kitu unachoweza kukitabiri kwa sababu huna uwezo wa kujua kesho ni nini kitatokea. Kibaya cha utabiri huwa kinaangalia uhusiano wa jambo moja na jingine mfano mwanamke akipata pesa na kuzaliwa kwa kiburi lakini haimaanishi kila mwanamke anaepata pesa ana kiburi...
Lakini pia unapoongelea group flani lenye tabia fulani lazma uhakikishe unaijua deeply kuliko kutoa conclusion kuhusu specific group "wanawake wafanyabiashara wa masokoni" Kwa kutumia general characteristic "wanawake" Kupitia mtazamo binafsi ambao bila utafiti mathubuti hukosa uhalali wa kuongelea kimantiki na hata kufanya utabiri ambao pasipo data, hubakia kuwa ni mtazamo usio na mashiko.
😃😃Mfano tukisema bodaboda wanavunja ndoa za watu na hurubuni wanafunzi na housegirls kingono.. Je tuanze kutafuta boda za kike kwa sababu hawafanyi hivyo
Mkûu kwèñye suala la mapenzi au ngono makundi yôte yanafanya vizuri.Je, vipi kuhusu madaktari wa kiume wanaotembea na wake za watu au wauza chips ambao wanafanya mabaya kuliko hata madereva boda. Je tuamue kuwagomea na kula kwa wanawake ambao hawana hiyo negative impact ?...
Naelewa unachokifanya "brotherhood" Je, hiyo brotherhood una uhakika hiyo pesa unayowapa inaleta positive impact kama unavyosema
Tukubaliane mkuu, pesa ya mwanamke huwa inatumika kwa vitu muhim pekee na kwa watu anaowapenda ndio maana watu wengi hupenda watoto wa kike kwa sababu ni ngumu kusahau kwao. Mwanamke akipata pesa za kikoba atakumbuka kitu ambacho watoto wake hawana na pia nyumbani kwao kimekosekana nini, sio yeye atavaa nini au ampe mchepuko pesa. Ndio maana mama akienda kwenye sherehe anaweza kurudi na vitu kwa sababu hana ubinafsi wa starehe binafsi
Mwanamke ni nadra kula vyuku huku watoto wake hajui watakula nini, na hata akicheat, usishangae akaomba afungiwe chips nyama za wanae. Hivyo ndivyo mwanamke alivyo, watu anaowapenda huja kwanza. Huu sio ubinafsi ukiniuliza
Ukirudi kwa wanaume bro tuseme Tu ukweli. Baba wa familia anaweza kula bear, vyuku, supu na akawanunulia bar maids bia huku watoto wake wanakula maharage nyumbani.
Huyo mtu unaempa pesa sokoni si ajabu akaenda kula vyombo na kujistarehesha na michepuko. Lakini familia hata pesa ya tution haina
Na ni maisha ya kawaida kabisa ndio maana nasema thread yako yaweza kuwa sawa lakini pia ikawa wrong kwa kiasi kikubwa
Umenikumbusha Jana nimeenda Florence kuangalia chumba ili siku Chache zijazo (weekend) nikapumzishe akili aisee nilimkuta dada anaetoa huduma ni anajisikia sio poa hadi nguvu ziliisha anyway nitaenda maana nimependa mahali ila customer care ilikuwa negative zero
Baada ya hapo nikapita kumalija kupata soup ya kongoro Hawa wakasafisha akili yangu kwanza nilikuta ni wadada warembo na wasafi wakanipokea kwa bashasha na kunipa huduma huku nikifatilia game ya Yanga
Binafsi nakubaliana na mtizamo wako ila tuwaunge nao mkono hasa wale wenye kauli na huduma nzuri
Aisee hii inafikirisha Sana kiukweli
Ukweli kabisa kabisa, Mwanamke akiwa Boss shughuli unayo na awe hajakunwa vizuri home kwake au amekosana na mume wake, au Hawara wake, ofisi nzima mtamkoma
Vipi ule msemo kwamba, "ukimuelimisha mwanamke, umeelimisha jamii..."; haupingani na kanuni hii ya pesa?Pesa ya Mwanaume ni Pesa ya jamii lakini Pesa ya Mwanamke mara nyingi huwa Yake na Watoto wake tuu.
Mwanamke anapenda attention.
Anapokuwa na Ñguvu hutumia mabavu
Vipi ule msemo kwamba, "ukimuelimisha mwanamke, umeelimisha jamii..."; haupingani na kanuni hii ya pesa?
Kwahiyo wanawake wanabidi wasiwe na uchumi imara .?
Sawa kabisa, Mtibeli...Huo msemo Hauna ukweli wowote.
Angalia hata humu JF ni Wanawake wangapi wamejitolea kuelimisha jamii bure Kwa Kile walichojaliwa utagundua huo msemo NI porojo tuu.
Ndîo maana nikasema Pesa ya mwanamke siô Pesa ya jamii.
Lakini Pesa ya Mwanaume ni Pesa ya jamii na Taífa Kwa ujumla.
Mwanamke hayupo kwaajili ya jamii. Mwanamke yupo kwaajili ya Familia(hasa Watoto wake full stop).
Mwanaume yupo kwaajili ya jamii nzima.
Mwanaume atatunza Watoto na bado ataenda Bar kuwapa riziki Watu Wengine akijua wanatafuta Maisha.
Mwanaume anaweza akatunza Watoto wa Mkewe àmbao siô wake Kwa kuwaona ni wake lakini mwanamke Hilo usahau kabisa
Yeah Wanaume wa hivyo wàpo. Ukifuatilia utagundua kûna sababu ya ndàni Kabisa àmbayo inapelekea Mwanaume kuwa hivyo. Sababu hiyo ni mwanaume kukosa utulivu Kutoka Kwa Mkewe.
Hiyo michepuko inafamilia na itasaidia familia zào.
Mwanamke anaweza kuwa Bora kwèñye kuhudumia familia yake alafu kumbe Watoto kambambikiwa hivyo Hana tofauti na Yule anayehonga michepuko
Mkûu chukua Simu Sasa hivi wapigie Tanesco waambie luku yako haingizi umeme.
Akipokea Mwanaume sikiliza atasemaje
Alafu piga tenà Mpaka apokee mwanamke Kisha msikilize uone atasemaje
Piga DStv au Azam au voda au Tigo hivyohivyo ufanye utafiti utagundua huo utofauti Mkubwa uliopo.
Mbona nilichoandika Watu wengi wanakielewa wakiwemo Wanawake wènyewe.
Mkûu kuhusu Swala la Mwanamke kupata Pesa na kubadilika ni Jambo ambalo limetokea Kwa Wanawake wengi Sana sio Tanzania tuu Bali Duniani.
Kiasili Wanawake wameumbwa na kiburi na dharau hasa wakiwa na Ûzuri na uwezo. Wanawake wasio na kiburi Wala dharau ni wachache Mno na hao NI exceptional na katika hao exceptional kûna àmbao kiburi chao wamekificha Kwa sababu tuu hawavutii, hawananguvu na Hawana Pesa.
Unapoambiwa mwanamke lazima aringe ndîo tafsiri halisi ya jeuri na kiburi
Kûna mambo hayahitaji utafiti Mkuu.
Wanawake kwèñye suala la biashara unapozungumzia Kutoa huduma Bora Wanawake wengi hawawezi kutoboa mbele ya Mwanaume.
Hata hospital Wanawake wajawazito Asilimia tisini na tisa hutaka kuhudumiwa na Madaktari Wanaume. Hivyo ni Jambo la Kawaida Kabisa
😃😃
Mimi sijui kama bodaboda wanashutumiwa kuharibu Ndoa za Watu.
Tukienda hata ustawi au Mahakamani wanaotuhumiwa kutia Mimba au kubaka wengi waô siô bodaboda.
Sema Kwa vile labda kûna interaction kûbwa Baina ya bodaboda na watu(hasa Wanawake )Hali àmbayo inapelekea Watu kudhani wanatoka kingono sana na wanawake kuliko makundi mengine.
Mkûu kwèñye suala la mapenzi au ngono makundi yôte yanafanya vizuri.
Ila unachoeleza ni Kasumba Mbaya iliyopo kwèñye jamii kuwa ukifanya Kazi inayokukutanisha na Wanawake Basi unawala mademu wengi Kuliko makundi mengine Jambo ambalo halina uhalisia.
Umechangia vizuri Sana.
Kama utachunguza hoja zangu utagundua kuwa Nilichoeleza kinaeleza uhûsiano wa Mwanamke kupata Pesa na mchango wake katika familia na Jamii.
Sijasema Mwanamke Hana mchango Nop!
Nimeeleza Mwanamke Pesa yake ni yake(wakiwemo Watoto lakini mtoe Mume)
Lakini Pesa ya Mwanaume ni ya jamii nzima.
Ndîo maana kûna mamilioni ya single mothers Duniani wanatunzwa na kusomeshewa Watoto waô na Wanaume.
NI nadra kukuta mwanamke Duniani anamtunza mume na Watoto WA kambo.
Duniani siô ajabu wasifike Wanawake Mia Moja Wanaofanya hivyo.
Au zîpo familia nyingi za Wanawake zinazotunzwa na Wanaume Kisa Binti Yao aliolewa.
Lakini ni nadra kukuta mwanamke akijenga Ukweni na Kûhudumia familia ya Mwanaume.
Wanawake wengi wana inferiority complex haswa wakiwa katika ngazi za maamuzi. Maana wengi huhisi akiwa kawaida watu watamchukulia poa kwa sababu ya jinsia yake ndio maana wengi wenye hizo insecurities, kitu kidogo ata over react ili tu aogopweUkweli kabisa kabisa, Mwanamke akiwa Boss shughuli unayo na awe hajakunwa vizuri home kwake au amekosana na mume wake, au Hawara wake, ofisi nzima mtamkoma
Hili ni tatizo ubwa sana kwa wanawake kwenye sehemu mbali mbali za kutoa hudumaHapo umeeleza ukweriii