Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:


Mkûu brotherhood ndîo mfumo thabiti Kwa Dunia
 
Pia wanawake Wana kipato kingine kutoka Kwa side chicks za maduka Yao ya Jumla.

Naunga mkono hoja
 

Yeah Upo Sahihi Kabisa

Na hao waliopo cool ni wachache Sana.

Ukitaka kuona Jambo Hilo tazama vyombo vya Habari na Wanawake mashuhuri kupata walio cool licha ya mafanikio Yao ni Moja Kwa Mia moja
 
Juzi niliingia tuna la pembejeo kununua sawa za mazao
Nikamkuta mdada mrembo wala hakujali
Akawa anachat na kucheka ananijibu bei kama nakopa
Nilimpa tusi la kumany.ok.o
Nikaenda duka lingine
Kimsingi mawanawake ni majinga,Yana dharau na hayajui biashara,japo wapo wanaume wachache wajinga wa hivyo pia.

Hao hawajali Kwa sababu anajua atapata hela ya jamii kutoka Kwa mwanaume anaemtaka au aliyemuoa.
 
Sahihi kabisa
 
Wewe jomba ni Team Kataa ndoa damdam. Hadi Karoti na Ngogwe unaenda kununua mwenyewe sokoni? Mabachela wenye dalili za kuoa ikitokea kujipikia watanunua tu unga, kitunguu, nyanya na mboga wanayotaka kupika (nyama, samaki nk.) Na sio kununua mazagazaga mengine.
 

Mara Mojamoja kwenda Sokoni siô mbaya Mkûu.
Ili kujua kile ambacho Mkeo anakipitia Huko Sokoni. Je Pesa unayompaga inatosha au inamchosha?

Au je anakuibia au saidia kukuwekea mambo sawa
 
Kweli kabisa wanaume wana huduma nzuri sana hata Buchani ✅✅✅✅❤️
 
Mwanaume unaweza mlaumu na ukamlalamikia kuhusu huduma yake na akakubali lakini usijejaribu hivyo Kwa ndugu zako(Wanawake wenzako)
mkuu, unajua wanawake ni dhaifu mbele ya mwanaume anayejiamini?

Mwanaume ukihudumiwa ndivyo sivyo na mtoa huduma mwanamke, ukimwakia, asilimia 99 ya wanawake huwa hawakujibu wanaanza kukuogopa. Sina experience tosha ya wanawake kwa wanawake wanavyohudimiana wao kwa wao
 
Hoja 5-8 zote kama ni weight 10/10. Nadhani nitakifanyia kampeni kwa masela wangu wote walitekeleze.

Sema wanaume wengi huwa tuna huruma kwa kudhani wanaweka wanateseka hivyo huamua kuwaunga mkono.

Ila ukweli ni huo, mwanaume “anamulitiplier” kubwa zaidi.
 
Mimi ni mwanamke ila nakuunga mkono kwenye point namba 5
Hata usiponiungisha sawa tuu....

Sipendi Mwanamke anayelalamika Kwa majukumu na wajibu wake.
Sasa kama Baba wa Mtoto hutumi Pesa za matumizi si umtunze mwanao.

Sisi Wengine tunakuwaga na maswali ya kimitego àmbayo Mtu akija kichwa kichwa anaweza jua amesifiwa.

Namuungisha Mwanamke anayetambua kuwa Maisha yake ni jukumu lake na siô jukumu la Mtu Mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…