Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:

Sasa ukienda sokoni unaanza mahojiano?
 
H
Hata U.S,Payroll mwanamke hulipwa 20% less kuliko mwanaume,........ukitaka uingamize jamii,basi walipe sawa wanaume na wanawake,..........
Ushajiuliza viti maalum hufanya Nini pale bungeni?,na hata wasipokuepo tutapata hasari Gani?,ukitoa wabunge wote wa viti maalum kwa miaka 5,tunaweza jenga mwendokasi kuanzia kimara hadi Dodoma
 

Attachments

  • images (28).jpeg
    25 KB · Views: 4
Mkûu brotherhood ndîo mfumo thabiti Kwa Dunia
Mimi sio mshabiki wa mifumo sana kwa sababu inakufanya usiwe unauona uhalisia. Japo kwa sasa sipendi watu wanavyochukulia masculinity kama ni kitu kibaya kwa sababu dunia inahitaji uanamke na uanaume ili iwe balanced ndio maana kwa sasa tunaona ongezeko la feminine men ambao wanakosa ile mamlaka na roho ya kiume kiasi cha kuleta matatizo haswa kwenye zile situation ambazo akili inahitajika kuliko hisia na machozi

Kwa hiyo hii ni athari ya watu kushabikia mfumo kuliko uhalisia na mahitaji ya jamii kiujumla. Kwa hiyo hata wewe ukiturudisha katika dunia iliyopita kimtazamk, Ila huwezi kupambana na nyakati hivyo ni vyema kuangalia ni nini cha kufanya kutokana na uhalisia wetu
 
Sio mbaya, mwisho wa siku zinarudi kwa mwanamke huyohuyo
 
Kabisa Mkuu

Usifunguke sana, wasije Kataa Ndoa wakapata points za kuendelea kushikilia msimamo wao wa kuto Kuoa kisha hawa Wajukuu zetu wakakosa Waume bure 😜
Nani kawaambia kataa ndoa hawana watoto? Watoto wanao, kinachopingwa ni kuishi na mtu anaenufaika kwa maslahi yake, uku akikutumia baadae anakudharau.

Wanaokataa ndoa watabadili misimamo yao pale binti zenu watakapoacha tabia za kishenzi na biashara kichaa ndoani
 

Duuuh Hatari Sana hiyo
 

Raha ya mfumo dume ndàni yake kûna mfumo Jike.
Lakini ubaya wa mfumo Jike ndàni yake hauna mfumo dume. Hiyo ndîo dosari
 
Raha ya mfumo dume ndàni yake kûna mfumo Jike.
Lakini ubaya wa mfumo Jike ndàni yake hauna mfumo dume. Hiyo ndîo dosari
Kwenye mfumo dume, mwanamke hana sauti. Kwenye mfumo jike kwa tafsiri ya wanaoipokea ni kumdogosha na kumdharau mwanaume

Kwa hiyo tunaweza kuwa na mfumo ambao hauanglii ujike au udume Ila unaangalia uhalisia wetu na kwa jinsi gani mwanaume atabaki kuwa mwanamume na mwanamke akabaki katika uanamke wake pasipo pande moja kuathiri pande nyingine. Kitu ambacho sio rahisi Ila baada ya miaka kumi au ishirini yawezekana ukapatikana mfumo bora kuliko hii transition tuliyonayo ya kutoka kwenye uzamani kuingia katika usasa

Na katikati ya hiyo transition, lazma kuwepo na wapinga mfumo mpya kama wewe na wakubali mfumo mpya kama feminists. Na mwisho kutakuwa na kundi kama langu ambao tunaaangalia vitu kwa uhalisia lakini kwa bahati mbaya kundi la tatu halina nguvu kwa sababu binadamu wengi wanapenda kuwa katika kikundi cha watu na kufuatana kama kondoo kuliko kuwa free thinkers..

Labda huko mbeleni tutafanikisha zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…