Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Hayupo kiongozi wa kiroho atayekubali kwa kuambiwa anaumia kwa tendo la ndoa asiye na mume wa ndoa,labda uwe wewe ndo wa kiroho mkuu Usimdanganye mwenzio na kumpa matumaini kama mwanasiasa wa mabomba kutoa maziwa!
Sipendi kuhukumu, naamini hata wewe ni mtenda dhambi japokua unaweza kuwa sio uzinzi, hakuna mtakatifu hapa duniani kwa hiyo usimnyooshee kidole jirani yako

Akienda kwa viongozi wa kiroho atapata msaada ikiwa ni pamoja kudhauriwa kuacha uzinzi
 
Hayupo kiongozi wa kiroho atayekubali kwa kuambiwa anaumia kwa tendo la ndoa asiye na mume wa ndoa,labda uwe wewe ndo wa kiroho mkuu Usimdanganye mwenzio na kumpa matumaini kama mwanasiasa wa mabomba kutoa maziwa!
Kazi ya kiongozi wa kiroho ni kuwalinda waumini kiroho, kiongozi wa kiroho anaweza kumsaidia huyu dada akatubu dhambi ya uzinzi
 
Una umia mbele au nyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…