Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Kama umewahi kuwa na mwanaume mwingine na ulikuwa unaenjoy sex bila maumivu na kwamba hali hiyo imekukuta ukiwa na yeye basi huu ushauri wangu HAUTAFAA na itabidi upate msaada wa kitabibu au kiroho, ila kama ni kinyume chake basi jaribu hii.

Anavyokuonea huruma ndio utazidi kuumia kila siku, maana kila ukilia akihurumia ujue anaacha kuishunghulikia ile sehemu inayoleta kauzibe, matokeo yake ni kila akiingia utaumia na kuumia maana ni kama anaanza upya kila siku.

Wewe jitoe muhanga, kama jamaa ana ana show za kibabe (uume sio legelege, na anaweza kwenda walau kwa dakika 2 tu au zaidi ya hapo bila kuwaita wazungu), inatakiwa
afanye kwa nguvu bila kukuonea huruma (yaani akubane haswa ahakikishe haujitoi ) na ahakikishe anaifikisha kila angle kwa kuizungusha vizuri. Pumzika siku tatu kisha rudia tena zoezi hilo mara ya pili na tatu.

Utauma lakini baada ya hapo utakuwa sawa, hii naongea kwa uzoefu wangu kukutana na hali hiyo kama Mwanaume.


Hii natamani ningemwambia jamaa maana najua wewe huwezi kumwambia kwa kujionea huruma.
 
umeshawahi kujaribu kusex na mtu mwengine na still ukapata tatizo hilo hilo? ikiwa no basi tatizo ni jamaa yako na purukushani zake za kutaka kuingia pangoni, ikiwa ndio nakushauri ukamuone daktari bingwa wa masuali ya wanawake (gynecologist) haraka sana.
 
Jaribu kutafuta nsaada wa kisaikolojia

Kama upo hapa Dar nenda Pale Saifee hospital muone Dr Theresia, ni psychologist mzuri sana

Ila pia tafuta msaada wa kiroho kwa viongozi wako wa kiroho
Mtaalam wa Saikolojia? I second you.

Kiongozi wa kiroho? Anachofanya ni uzinzi, hajaolewa. Sasa kiongozi wa kiroho aende kumuombea ili apate nafuu ya maumivu anapofanya zinaa?

Huyo kiongozi naye atakuwa hajitambui. Ama wawe viongozi wa roho za kuzimu.

Ungemshauri, aolewe. Kisha kama maumivu yataendelea basi atafute msaada wa aina hiyo. Ila kwa sasa, HAPANA.
 

Hizo zote sijapitiaa labda nionane tu na specialist kwa matibabu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…