Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Huko nyuma umewahi kuwa na mwanaume mwingine na ukawa unafanya mapenzi bila hayo maumivu.?Yaani mkuu nikikwambia huyu jamaa hana huruma sijui hutanielewa…. Wakati mwingine mpk nalia napo haisaidii
Sijajua kwa nguvu hiyo ni ipi maana sio kwa shughuli hiyo yaani mpk ninaomba apunguze speed inaumaa kichiziii
Mimi nilimaanisha ufanye hivyo bila kuacha mpaka pale itakapozoea kuingiliwa, maana ninachohisi ni kwamba unakaa muda mrefu bila hiyo kitu kwahiyo kila akija anakuwa kama ndio anaanza.