Nikiiangalia hii picha ya Nape naona kuna shida kubwa kwa hawa viongozi wetu

mbona kuna wachungaji wanatembea juu ya migongo ya waumini wao ivyo ivyo
 
Ndiyo hao wanasimamia milleniam goals
 
We unamkanyagaga mama Yako? Umemkanyaga marangapi?
Umesema ndo tamaduni za kwenu mnakanyaga dada na mama zenu na msipofanya hivyo ni kosa... Watu wa hovyo sana nyie... Mnakanyagana na wazazi wenu.
 
Tanzania Wajinga Ni Wengi Sana
By Godwin Mollel
 
Hakuna kitu kama hicho. Huyo mhusika hana akili. Wewe mama yako akikwambia umkanyage matakoni utakubali?
Huwa najadiliana na watu sio mapepo, wapigie kuzimu unakotumika mjadili huko ndiko unakostahili namijadala yako
 
Shida kwa viongozi ama shida kwa wavaao nguo za kijani na njano (walio lala)?
 
Inasikitisha sana
 
Nape, January, mwigulu hawa watu hata wafanye nn lazima wale timu kudoka foka wawakosoe.
Hii picha ni ya leo? Mlikuwa wapi siku zote? Sijasema ni sawa
 
Hi ni laana.
Nape, Tuma anakusalimia toka mitaa ya Kariakoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…