Nikiiangalia hii picha ya Nape naona kuna shida kubwa kwa hawa viongozi wetu

 
Huwa najadiliana na watu sio mapepo, wapigie kuzimu unakotumika mjadili huko ndiko unakostahili namijadala yako
Nadhani na wewe unamkanyaga ninyi hamna akili kabisa mnakanyaga mama na dada zenu matakoni.
 
Kiongozi mwenye akili timamu hawezi akakubali kukanyaga mat.ako ya akina mama
 
Mimi naona hao waliolala hapo chini ni takataka za kuchoma kabisa moto.
 
Hao wamama hawajiheshimu mwanamme anakukanyaga vipi matakoni na umetulia tu what if akateleza akakunyaga kwenye uti wa mgongo SI unaweza kupooza kabisa?
 
Tamaduni zao zikoje? Tusije tukatumia nguvu nyingi kumbe utamaduni wao ndio ulivyo!
 
Hizo ndio akili za🍀
 
Kwani kipindi kile KAGAME anamwambia Hayati >Kambarage unadhani hakuwa na akili.
Msituchoshe bhana,mwacheni Nnape ainjoy himself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…