Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Yalimgeuka vipi? Ebu tujuze kwa kirefu with evidences/links.Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Huo mzozo haukuwa na vilio hivyo kwakweli sikuvisikia walikutana wakubwa kila mtu alilia kivyake.Kilio cha wanaua watoto na wanawake kilikuwa upande gani?
🤣🤣 Eti Israel ikaanza kulalamika Iran anashambulia makazi ya raia badala ya maeno ya kijeshi aise nilicheka sana .Kilio cha wanaua watoto na wanawake kilikuwa upande gani?
Kwani wewe hujui sababu za vita kusimamishwa? Kagugo🤣Yalimgeuka vipi? Ebu tujuze kwa kirefu with evidences/links.
🤣🤣🤣 Waligusa mzinga wa nyukiWalilamba waya wenye shot wakagaragazwa hadi leo hawana hamu 😄
Akijibu unistue nikupasie kimbo ya komoni na wewe ulewe.Kilio cha wanaua watoto na wanawake kilikuwa upande gani?
Amejibu ila naona anarukaruka tuu, kwanza Israel walipita na rohoni ya rais wa Iran 😂 mpaka leo Iran hawajafanya comeback yoyoteAkijibu unistue nikupasie kimbo ya komoni na wewe ulewe.
Unayeleta hoja ni jukumu lako kuithibitisha, sio mimi nikusaidie.Kwani wewe hujui sababu za vita kusimamishwa? Kagugo🤣
Halafu anacheka na kujibatiza "sir"!Labda alitaka kujiita "SIRI"!Amejibu ila naona anarukaruka tuu, kwanza Israel walipita na rohoni ya rais wa Iran 😂 mpaka leo Iran hawajafanya comeback yoyote
Unawaza "the impossibilities"!Mparestina mwenyewe alipewa silaha myahudi anakaa.ndo maana wanapigana Leo kesho kumzuia mparestina kuwa taifa.wanajua parestina ikiwa taifa wataunda jeshi lao.na watapewa silaha na mwisho wa myahudi ndo utakuwa huo
Uwezo wa Intelligence ya Iran kuwakamata Majasusi wa Mossad .Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Evidence hizi hapaYalimgeuka vipi? Ebu tujuze kwa kirefu with evidences/links.