Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

Hata Ukraine waliua ma general kibao wa Urusi, wa Ukraine na wayahudi tabia Yao Moja mauaji ya kuvizia, Gaza mmeua viongozi wote Kwa kuvizia lakini mnachokutana nacho ni siri yenu. Iran mmeua makamanda lakini haikuepusha kichapo Cha maana ukome lait trump angali Kaa kimya mziki ndio ulikua umefikia chorus. Kuuawa Kwa kamanda Alie kazini hakuzuii kupewa kichapo popote pale
Hamkosi visingizio vya kipumbavu eti Israel iliwavizia wakati huo wao walikuwa wapi kustuka? Nijuavyo Mimi Israel ndiyo ilianzisha kuishambulia Iran kikawaida isingekubali kusitisha mapigano lakini kwa kuwa ilikuwa imezidiwa ililazimika kukubali tu kitu ambacho kilionyesha wazi Jeshi la Iran ni dhaifu kupita maelezo!!
 
You know they got hit hard when they were going for regime change on day 1 and asking for a ceasefire on day 12 ...

Fighting actual military Is not the same as fighting a local resistance(hamas)
Iran is a hard nut to crack.😂😂😂
 
Hata Ukraine waliua ma general kibao wa Urusi, wa Ukraine na wayahudi tabia Yao Moja mauaji ya kuvizia, Gaza mmeua viongozi wote Kwa kuvizia lakini mnachokutana nacho ni siri yenu. Iran mmeua makamanda lakini haikuepusha kichapo Cha maana ukome lait trump angali Kaa kimya mziki ndio ulikua umefikia chorus. Kuuawa Kwa kamanda Alie kazini hakuzuii kupewa kichapo popote pale
Unajua hawa wagalatia ni kama mapopoma.
Huwa nawauliza swali rahisi sana,enhee Israel ilipata faida gani kuua makamanda na wanasayansi?
Jibu lako kuu "ooh ni hasara kwa taifa we unajua kamanda imegharimu muda na pesa gani kumuandaa".
Je kuuawa kwao kulifanya shughuli za nchi kusimama ama kufa kabisa?
Jibu HAPANA.
Niliwapa mfano mmoja mdogo,2006 karibuni 80% ya makamanda wakuu wa Hizbollah walikufa kwa kuuliwa na Israel,ila Hizbollah iliweza kuipiga Israel na kuiondosha Bint Jubeir,je Israel kuua kwa makamanda wa Hizbollah kuliwapa faida gani ilhali walipigwa na kuondoshwa Bint Jubeir?
Jibu hawana.
😂😂😂😂Kuna muda unabaki unawaacha tu hawa jamaa maana akili visoda.
 
Sina upande wowote lakini aliyenianza kunipiga nikianza kumjibu kwa kipigo siwezi acha kuendelea kumponda,
Sasa hili swala la Iran kuacha kuendelea kumpa kipondo Israel kirahisi rahisi wakati amepotezq viongozi wengi wa kijeshi chini kwao, bado haisomi!
Iran amefanya busara kukubali kusitisha vita kwasababu lengo la kujilinda lilitimia na Israel ilishadhoofishwa vibaya sana.
Hata viongozi wa EU walimsihi sana akubali kusitisha vita.
Inamaana kisasi cha Iran kilishatimia.
Iran hakuwa na sababu ya kuendelea na vita maana hakuna sehemu muhimu ambayo ilibaki kupigwa ndani ya Israel.
Bandari,vituo vya uwekezaji, biashara kuu,vituo vya gesi na mafuta,vituo vya utafiti wa kisayansi,kambi kuu za jeshi,vituo vya intelijensia ya jeshi vyote vilifyekwa.
Sasa unaendelea na vita kutafuta nini?
Iran ina matatizo mengi sana sio busara wala akili kuendekeza vita.
 
Unajua hawa wagalatia ni kama mapopoma.
Huwa nawauliza swali rahisi sana,enhee Israel ilipata faida gani kuua makamanda na wanasayansi?
Jibu lako kuu "ooh ni hasara kwa taifa we unajua kamanda imegharimu muda na pesa gani kumuandaa".
Je kuuawa kwao kulifanya shughuli za nchi kusimama ama kufa kabisa?
Jibu HAPANA.
Kutokujua kwako mambo ya kijeshi ndiyo ujinga wako ulipo hakuna asiyejua hasara ya kuuliwa makamanda wandamizi katika jeshi lolote maana wao ndiyo wana dira yote ya mapigano sasa anapoondoka huyo kuna pengo ambalo si rahisi mtu mwingine kuliziba. Lakini kwa sababu nyie mko kwenye kujifariji na kujipa moyo hamuwezi kuona madhara yake!!!!
Niliwapa mfano mmoja mdogo,2006 karibuni 80% ya makamanda wakuu wa Hizbollah walikufa kwa kuuliwa na Israel,ila Hizbollah iliweza kuipiga Israel na kuiondosha Bint Jubeir,je Israel kuua kwa makamanda wa Hizbollah kuliwapa faida gani ilhali walipigwa na kuondoshwa Bint Jubeir?
Jibu hawana.
😂😂😂😂Kuna muda unabaki unawaacha tu hawa jamaa maana akili visoda.
Mpaka sasa bado mnasifia Hezbollah aliyepoteza makamanda wake wote mpaka Hassan Nasrallah leo hii wako wapi? Kifo chao kilitokea walipopigwa tu na Operation Beeper 📟 amabako makamanda wao waandamizi walionja Shubiri tokea hapo walitenguliwa viuno mpaka sasa hawawezi kurusha kombola lolote Israel wakihofia kipigo kingine kutoka majeshi ya Israel!!!
 
Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Majangili ya kiyahudi yalinyeshewa mvua na makombora
 

Attachments

  • IMG_20250614_043721.jpg
    IMG_20250614_043721.jpg
    126.6 KB · Views: 20
Iran hakuwa na sababu ya kuendelea na vita maana hakuna sehemu muhimu ambayo ilibaki kupigwa ndani ya Israel.
Bandari,vituo vya uwekezaji, biashara kuu,vituo vya gesi na mafuta,vituo vya utafiti wa kisayansi,kambi kuu za jeshi,vituo vya intelijensia ya jeshi vyote vilifyekwa.
Iran alichoweza ni kupiga sehemu za raia na kuua raia tu. Nakushangaa unaposema Iran walipiga kila sehemu wakati sehemu nyeti kama Dimona hawakugusa kwa sababu hawana uwezo wa kufanya hivyo uwanja wa Ben Gulion hawajaupiga na sehemu nyingi tu mhimu hawakuweza kugusa.

Waliweza tu kushambulia makazi ya raia wasio na hatia
 
Na hao wayahudi wasingepata madhara, wangeendelea kumdunda mpaka sasa, kama wanavyowaonea Gaza, Lebanon & Syria...
 
Back
Top Bottom