Na mdio mara ya kwanza hebu fikiria telvive zikishuka missle tatu za maana stress inayokuwa pale na yale magorofa yao .. walidhani pale hapagusiki ndo maana wakaweka command contro centre pale katikati wakidhani wako salama natyo ikagogwaHawezi kuthubutu kuigusa Iran Tena anajua matokeo yake yatakua mabaya sana. Kitu asichopenda Israel ni kupigwa direct.
1.iran haijaathiriwa kwa lolote katika program yake ya Nuklia na inaendelea na mipango yake na Israel na Marekani imeshindwa kuzuia Iran isiendelee
2. Iran imeshambulia maeneo muhimu ya kijeshi na miundombinu ya kiuchumi nchini Israel, viwanda, Mossad HQ , wizara ya mambo ya nje, power stations, airbases
3.Iran inefanikiwa kuukamata Mtandao wa ndani wa Mossad nchini Iran na kumuangamiza kwa kuwanyonga maajenti wa Israel waliofanikisha mpango wa Israel kuishambulia iran.
4. Iran amefanikiwa kuishambulia marekani nchini Qatar, Kuwait, Bahrain na Iraq baada ya marekani kumsaidia Israel kufanya mashambulizi nchini Iran.
5.Iran hakuwa tayari kusitisha vita ila Israel na Marekani ndio waliomba kusimamishwa mapigano baada ya kuona wayahudi wanapata tabu saa ndani ya nchi ya ahadi ya mchongo kutokana na kipigo cha Iran.
6.
Israel ndo alichapika kwenye hiyo vita na akaomba poo, ingekua hajachapika angeendleza ujinga wake anaoufanya Gaza hadi Iran, ila kakutana na ngumi ya mdomo kutoka Iran akakimbilia kwa Baba yake USA kuomba aombewe suluhu maana uzito wa ngumi aliokutana nao hajawahi kuuonaYaani nianzishe ugomvi nikutandike kisha nikuambia sasa inatosha tusiendelee kupigana na ww unakubali kirahisi tu sasa hapo nani mbabe?
Hivi sasa wamebaki kufanya mashambulizi ya kigaidi, na ni kama wameifanya Iran kuwa imara zaidi...Hii nafasi israel wametumia muda mwingin na gharam kubwa sana kuiandaa na hawatakuja tena kuipata tena ndo wamechezea sh chooni israel akae tu kwa kutulia akimuona iran ampigie salute hiyo ndo imetoka hivyo
Ilifeli mimgine ililemgwa direct kuna missle iligonga pale telavive mpaka interceptor ikachomoka kama vile imepatwa na kifafa na kumbuka israel hana kipya cha kuongeza maana best equipmemt of west ndo vipo pale telavive hamna ambacho usa hajapeleka telvive sio THAAD sio patriote .. kwa hiyo israel alitumia best the usa has in its arsenalIsrael alikuwa ashapoteza uwelekee... mifumo yake ya anga ya ulinzi.. ilikuwa inafeli...hypersonic za Iran...zinapiga miji ya Israel sehemu muhimu tena kwa usahihi... jamaa wakaona apo tukicheka...Irani atawamaliza. Iran alikuwa anampiga mdogo mdogo tuuu...kweli nimeamini waajemi sio watu wamchezo mchezo...Israel alimchukulia poa irani..akajua atakuwa dhaifu...kama anavyoiljipigia waarabu
Walidhani makombora ya Iran madhaifu kama rockets za Hamas. Kwamba wanazipangua halafu raia wanakaa pembeni kutalii namna iron dome inavyokichafua.😂😂😂Na mdio mara ya kwanza hebu fikiria telvive zikishuka missle tatu za maana stress inayokuwa pale na yale magorofa yao .. walidhani pale hapagusiki ndo maana wakaweka command contro centre pale katikati wakidhani wako salama natyo ikagogwa
Ingekua Israel ameiweza Iran basi angeendeleza ubabe kama anavyofanya Lebanon,Syria na Gaza.Israel ndo alichapika kwenye hiyo vita na akaomba poo, ingekua hajachapika angeendleza ujinga wake anaoufanya Gaza hadi Iran, ila kakutana na ngumi ya mdomo kutoka Iran akakimbilia kwa Baba yake USA kuomba aombewe suluhu maana uzito wa ngumi aliokutana nao hajawahi kuuona
Hizo taarifa walikufa 28 hapo ndio naelewa mzayuni alivyovikamata vyombo vya habari ulaya, mlivyokua mnajazana Kwenye mashelter mkizani ni rocket za Hamas zileMwongo mkubwa wewe!! Israel haikuwahi kuomba kusitisha vita. Kumbuka wakati makubaliano ya kusitisha vita yanafikiwa, ndege za Israel zilikuwa angani zikielekea Iran, zilirudishwa zikiwa angani. Iran ndiyo ilikuwa ikisema kila mara kuwa ipo tayari kusitisha urushaji makombora, Israel ikiacha mashambulizi.
Iran imepoteza watu 1,190 wakiwemo wanajeshi wasiopungua 400. Israel ilipoteza waru 28, akiwemo mwanajeshi mmoja aliyekuwa likizo.
Lazima uwe huna akili kabisa kuamini kuwa hasara ya kuooteza binadamu 1,190 ni ndogo kuliko ya waru 28. labda kama unamaanisha uhai wa Wairan hauna thamani.
Iran
HRANA reported that, as of 28 June 2025, 1,190 had been killed, including 435 military members, 436 civilians and 319 unidentified dead. 4,475 people were injured. At least 20 senior commanders were killed in the strikes.
Ilifeli mimgine ililemgwa direct kuna missle iligonga pale telavive mpaka interceptor ikachomoka kama vile imepatwa na kifafa na kumbuka israel hana kipya cha kuongeza maana best equipmemt of west ndo vipo pale telavive hamna ambacho usa hajapeleka telvive sio THAAD sio patriote .. kwa hiyo israel alitumia best the usa has in its arsenal
Dini nzuri iko moyoni wako. Kobazi ni wajinga sanaKwako ww Dini gani ndio shwafiiii ni hiii ya utamu wa yesu au nyingine!!
You know they got hit hard when they were going for regime change on day 1 and asking for a ceasefire on day 12 ...Ingekua Israel ameiweza Iran basi angeendeleza ubabe kama anavyofanya Lebanon,Syria na Gaza.
Lebanon,Syria na Gaza anaingia na kutoka anavyotaka.
Ila weeeh Iran kisu kiligota mfupa alipashindwa pale.
Sina upande wowote lakini aliyenianza kunipiga nikianza kumjibu kwa kipigo siwezi acha kuendelea kumponda,Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Wewe ndiyo unapaswa kupigwa akili maana huoni vichekesho vilivyofanywa na Iran katika vita vya siku 12 huko Iran.Una uhakika hawakuua mwanajeshi yoyote? Kapimwe akili nilileta mpaka picha humu Iran hafichi nyie mnaficha hizo ni level mbili tofauti balaa lililofanyika makao makuu ya Mossad na pale hospital tupeniajibu yake na huko makambini, hakuna jengo la raia Hata Moja jengo alilopiga la raia.
Kama IDF hawakutaget raia iweje raia zaidi ya 600 wa Iran nani amewaua?
Oneni aibu basi kusema uongo pamoja na kwamba dini yenu inaruhusu uongo kwa jina la TAQIYYAH, Jeshi kupoteza mafias wake waandamizi 30+ na wanasayansi wa Nuclear 60+ wakati huohuo wa siku 12 za vita Israel haikupoteza askari wake hata mmoja, haikupoteza hata ndege-vita hata moja harafu wewe unakuja hapa na Kubwabwaja “they got hit hard” unaonekana wazi wewe ni Zwazwa wa mwisho!!! Angalia mizoga ya makamanda hapo chini ndipo ujue wayahudi si wenzako!!!You know they got hit hard when they were going for regime change on day 1 and asking for a ceasefire on day 12 ...
Fighting actual military Is not the same as fighting a local resistance(hamas)
Hata Ukraine waliua ma general kibao wa Urusi, wa Ukraine na wayahudi tabia Yao Moja mauaji ya kuvizia, Gaza mmeua viongozi wote Kwa kuvizia lakini mnachokutana nacho ni siri yenu. Iran mmeua makamanda lakini haikuepusha kichapo Cha maana ukome lait trump angali Kaa kimya mziki ndio ulikua umefikia chorus. Kuuawa Kwa kamanda Alie kazini hakuzuii kupewa kichapo popote paleWewe ndiyo unapaswa kupigwa akili maana huoni vichekesho vilivyofanywa na Iran katika vita vya siku 12 huko Iran.
Kwanza kabisa Jeshi la Iran lina majigambo sana kama MANDONGA vile cha kuchekesha kwa siku 12 za vita Jeshi hilo liligaragazwa vibaya sana makamanda wake wengi waliuwawa kijinga kabisa, mifumo yake ya ulinzi ilishindwa kutamba mbele ya ndege-vita za Israel kwa siku zote 12.
Badala yake sasa machawa nyie ndipo mnakuja hapa kwa kujifariji na kujipa moyo kwa sababu tu Majeshi ya Iran yalishindwa kuonyesha uwezo wao mbele ya majeshi ya Israel.
Kitendo cha kushindwa kuua mwanajeshi hata mmoja kwenye vita vya siku 12 hiyo tu inaonyesha Jeshi la Iran kuwa Halina uwezo kupambana kiume na majeshi ya Israel(IDF)
Majeshi ya Iran ni maarufu sana kwa maigizo na kushambulia maeneo ya kiraia na kusema uongo na kupotosha habari kitu ambacho wao wana kita TAQIYYA yaani kusema uongo kwa ajili ya mnyazimungu lakini ukiwauliza wadhibitishe uongo wao huo wanaishia mitini!!!