Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

Hamkosi visingizio!!! Ni ujinga na Upumbavu jeshi kupoteza Makamanda waandamizi wake wote kwa shambulio la siku moja hii inaonyesha wazi ni jinsi gani walivyo wajinga na wasiojua mbinu za Medani. Iran hana cha kujigamba mbele ya jeshi la Israel bado sana hana ubavu wa kuweza kukabiliana na Jeshi hodari la Israel(IDF)
Kama Iran hawezi kukabiliana endeleeni na mtanange Sasa, Kama kweli nyie ni wanaume
 
Malizaneni pia na Al qassam Kama ni vyepesi yaaani wanamgambo ambao IRGC akiingia pale Gaza ni week Moja bila Hata kuua raia mmoja asie husika nyinyi mnaenda kuhesabu mwaka wa watatu na na mabomu Tani elf 75 zaidi ya vita zote mbili za dunia hivi huo ni upumbavu kiasi Gani? Sehemu ambayo Hata JW hawamalizi week bila mtu kufa njaa na nchi wanaichukua
 
Kama Iran hawezi kukabiliana endeleeni na mtanange Sasa, Kama kweli nyie ni wanaume
Hii inaonyesha wazi Jeshi la Iran ni Utopolo kwa kuuliwa kijinga Makamanda wake!! Hapa hakuna jeshi!!!
 
Attachments

  • IMG_3615.jpeg
    IMG_3615.jpeg
    262.8 KB · Views: 27
  • IMG_3483.jpeg
    IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 24
Malizaneni pia na Al qassam Kama ni vyepesi yaaani wanamgambo ambao IRGC akiingia pale Gaza ni week Moja bila Hata kuua raia mmoja asie husika nyinyi mnaenda kuhesabu mwaka wa watatu na na mabomu Tani elf 75 zaidi ya vita zote mbili za dunia hivi huo ni upumbavu kiasi Gani? Sehemu ambayo Hata JW hawamalizi week bila mtu kufa njaa na nchi wanaichukua
Kilio na maombolezo kwa makamanda wa Iran waliouliwa kama kuku June 13,2023 yameisha au bado mnaomboleza!!
 
Attachments

  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 29
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 24
  • IMG_3404.jpeg
    IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 27
  • IMG_3405.jpeg
    IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 25
  • IMG_3406.jpeg
    IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 23
  • IMG_3414.jpeg
    IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 26
  • IMG_3466.jpeg
    IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 24
  • IMG_3479.jpeg
    IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 26
  • IMG_3499.jpeg
    IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 25
  • IMG_3401.jpeg
    IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 23
Kwani wewe hujui sababu za vita kusimamishwa? Kagugo🤣
Ni vizuri ww binafsi na kama GT mzoefu na wa siku nyingi, ujikite kujibu alichokuuliza sio unamwelekeza eti aKagugo.
Kama huna majibu, hilo nalo pia ni jibu.
 
Ni vizuri ww binafsi na kama GT mzoefu na wa siku nyingi, ujikite kujibu alichokuuliza sio unamwelekeza eti aKagugo.
Kama huna majibu, hilo nalo pia ni jibu.
Naamini kabisa kwa wafuatiliaji wa current affairs hata kama umeishia la Saba na hasa ukiwa mfuasi wa jukwaa la kimataifa hapa JF na mnazi wa Israel au Iran au Palestine utakua unajua ABC za huu mpambano otherwise utakuwa siyo mwenzetu.
 
Israel alikuwa ashapoteza uwelekee... mifumo yake ya anga ya ulinzi.. ilikuwa inafeli...hypersonic za Iran...zinapiga miji ya Israel sehemu muhimu tena kwa usahihi... jamaa wakaona apo tukicheka...Irani atawamaliza. Iran alikuwa anampiga mdogo mdogo tuuu...kweli nimeamini waajemi sio watu wamchezo mchezo...Israel alimchukulia poa irani..akajua atakuwa dhaifu...kama anavyoiljipigia waarabu
 
Naamini kabisa kwa wafuatiliaji wa current affairs hata kama umeishia la Saba na hasa ukiwa mfuasi wa jukwaa la kimataifa hapa JF na mnazi wa Israel au Iran au Palestine utakua unajua ABC za huu mpambano otherwise utakuwa siyo mwenzetu.
Mbona kilichoulizwa ni hiki hapa? "Yalimgeuka vipi? Ebu tujuze kwa kirefu with evidences/links."
 
Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Netanyahu alijua Iran ni kama Gaza kwamba ataipiga anavyotaka kama anavyopiga pweza.

Huko Gaza mwaka wa 3 huu kashindwa kuokoa mateka wake anaishia tu kuua wanawake , watoto na waandishi wa habari. Wanaume hasa wa Hamas hawakaribiii ata kwa bahati mbaya.

Jeshi la Israel linapewa tu sifa lakini kwenye uwanja wa mapambano ni mpaka wasaidiwe na airstrike kutoka kwenye ndege na drones. Halafu wanajeshi wengi ni wa kulazimishwa tu hawako motivated wala hawana hasa sababu ya kupigana wao wanafuata tu amri za wanasiasa kina Netanyahu tofauti na wanamgambo wa hamas ambao wako motivated na wana sababu ya kupigana unakuta mtu kadhulumiwa ardhi yake, kavunjiwa nyumba yake, kauliwa familia yake n.k
 
Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Vita inakua na malengo...unatakiwa ujue malengo ya kila mmoja yalikua yapi na hadi vita inaisha yalikua yamefanikiwa kwa asilimia ngapi...Tukiacha ushabiki ambao hauna maana. Israeli isingekuwepo baada ya miaka miwili kama isingefanya vita. Iran ilikua inakaribia kurutumisha nuklia kwa asilimia 90 ambayo ingetengeneza bomu la Nuklia kwa ajili ya Israeli na Marekani...
Israeli amefanikiwa hivi.
-Kurudisha uwezo wa kutengeneza bomu kwa miaka kadhaa nyuma.
-Kuitia hofu ya usalama Iran kwa kuonyesha wanaweza kuoperate ndani ya ardhi ya Iran na kuondoa viongoz wakubwa wa jeshi na nchi.
-Kuchelewesha uwezo wa Iran kuweza kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa wingi.
-Kudhoofisha serikali ili upinzani upate nguvu ya kufanya mapinduzi katika nchi(kitu ambacho kinaendelea kwa kasi sana Iran).

Iran ilifanikiwa.
-Kuuzidi mfumo wa ilinzi wa Israeli kwa kuushambulia kwa makombora mengi kwa wakti mmoja.
-Kuzuia Israeli isiendelee na shughuli zake za kiuchumi.

Vita ilionyesha udhaifu mkubwa wa kiintelijensia wa Iran ukilinganisha na Israeli ila pia ulionyesha Nguvu kubwa ya teknolojia ya Israeli ya kulenga eneo lolote kwa usahihi ukilinganisha na makombora ya Irani yanayodondoka hadi kwenye mashamba
 
inaonekana una asili ya kubishana, na inaonekana unasukumwa na itikadi za kiimani. Baki hivyo.
Wacha ubishi wa kijinga mission kuu ilikua REGIME CHANGE hayo mengine yalikua ni minor missions.
Na hakuna hata moja lililofanikiwa.
Iran ana nuclear site 8 na nne bado zinafanya kazi hadi sasa ikiwemo Natanz na Isfahan ambazo zina uwezo unaoshabihiana na Fordow.
 
Vita inakua na malengo...unatakiwa ujue malengo ya kila mmoja yalikua yapi na hadi vita inaisha yalikua yamefanikiwa kwa asilimia ngapi...Tukiacha ushabiki ambao hauna maana. Israeli isingekuwepo baada ya miaka miwili kama isingefanya vita. Iran ilikua inakaribia kurutumisha nuklia kwa asilimia 90 ambayo ingetengeneza bomu la Nuklia kwa ajili ya Israeli na Marekani...
Israeli amefanikiwa hivi.
-Kurudisha uwezo wa kutengeneza bomu kwa miaka kadhaa nyuma.
-Kuitia hofu ya usalama Iran kwa kuonyesha wanaweza kuoperate ndani ya ardhi ya Iran na kuondoa viongoz wakubwa wa jeshi na nchi.
-Kuchelewesha uwezo wa Iran kuweza kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa wingi.
-Kudhoofisha serikali ili upinzani upate nguvu ya kufanya mapinduzi katika nchi(kitu ambacho kinaendelea kwa kasi sana Iran).

Iran ilifanikiwa.
-Kuuzidi mfumo wa ilinzi wa Israeli kwa kuushambulia kwa makombora mengi kwa wakti mmoja.
-Kuzuia Israeli isiendelee na shughuli zake za kiuchumi.

Vita ilionyesha udhaifu mkubwa wa kiintelijensia wa Iran ukilinganisha na Israeli ila pia ulionyesha Nguvu kubwa ya teknolojia ya Israeli ya kulenga eneo lolote kwa usahihi ukilinganisha na makombora ya Irani yanayodondoka hadi kwenye mashamba
Wew unachekesha teknologia ya makombora ya Iran pale middle east hamna.. likishuka Moja linaacha cluster 80 Sasa hapo lazima useme hayana usahihi, alichokifanya muajemi ni kumkomesha Israel asirudie ufala yaàni anatwanga target yake halafu na pembeni anaachia cluster kiasi Kwamba mtaa mzima ni kwaheri. Kama unakumbuka alipiga kambi chini pembeni ya hospitali ila yowe lake inasikika raia 500 walikufa maana wengi hasa wanajeshi walidhani muirani hawezi tafuna eneo la hospital,

Kiukweli kilichosababisha ni ceasefire ni kuitwanga Kwa base ya pale Qatar mwaraabu akamwambia US usinitanie ndio US baada ya lile shambulio chap Sana akaomba cease muda huo huo. Lakini muajemi hakujibu ankatwanga Tena target zake Kwa makombora zaidi y 30 Israel huku US ameshaweka ceasefire mezani.
 
ulisema pale juu khs Israeli kupatwa na aibu. Aibu gani. Ukasema kuwa vinu vya
anga limetekwa, ndege zinajipigia zitakavyo, vinu vishabomolewa,

for humanitarian reasons wakaona wasitishe vita. Vita siku zote sio nzuri (kwa pande zote) ila kusema kwamba Israeli alimuogopa ama alimshindwa Iran ni kujidanganya.
Huu uongo unamwambia nani wewe!?
Hakuna lengo la Israel lililotimia tena sana sana Israel ilikua inabomoka vipande vipande.
Raia walishaanza kukimbia nchi
Kama Israel alikua anaiweza Iran kwanini raia wa Israel walikua wanakimbia nchi!?
 
In short Iran alikuwa anapiga bila mipango wakati mwenzie alikuwa anapiga ki mkakati
Ona huyu muongo mwingine.
Iran alipiga kambi za jeshi zisizopungua 5,alipiga vituo vya tafiti za sayansi za jeshi, alipiga sehemu za kiuchumi ama za uwekezaji.
Utasemaje alikua anapiga bila mpangilio?
Au tukuletee ushahidi hapa wa sehemu za kimkakati zilizolipuliwa Israel?
 
Israel waliandaa mossad agents wengi sana ndani ya Iran,mossad waka recruit na wa Afghanistan na kuwapa mafunzo ya ku operate drones, lengo likiwa kufanya sabotage kwenye air defenses za Iran, kufuatilia na kuwaua makamanda wa ngazi za juu wa jeshi na wanasayansi wa atomic , kufanya mashambulizi kwenye kambi za kijeshi...

Walijipanga pia kushambulia launchers za ballistic missiles, mahali ballistic zinapohifadhiwa... na sehemu nyingi nyeti....

Hivyo baada ya mashambulizi hayo Iran ingekuwa weak, hivyo US ingeingia na kuanza kufanya mashambulizi ya anga huku waki join forces...

Hivyo jeshi lingeshindwa kuji organize sababu makamanda wamekufa, ina maana jeshi la Iran lingebaki kama gari hakuna dereva, hapo NATO ingeweka buti chini na kuanza kupambana na jeshi la Iran ambalo sasa halina muelekeo...

Kilichotokea Israel ilibidi kumuomba US waishawishi Iran iache kupeleka vyuma....

Kuna jamaa mmoja anaishi Jordan, alikuwa anasema kombora la Iran lilikuwa likipiga Israel, ule mtetemo Jordan walikuwa wanauisikia ardhini, zaidi ya kilomita 100 na zaidi.... you can imagine waliokuwa kilomita 10 ilikuwaje...

Ilikuwa inatisha sio mchezo, hiko ndicho kilifanya wananchi waanze kukimbia kuelekea Cyprus... Israel ingepambana miezi mitatu tu... sijui ingekuwa vipi, ilikuwa inakuwa Gaza halisi...
Hapo kwenye mtetemo mpaka Jordan wamelisikia umetupiga changa la macho kobazi mkuu 😂😂 kawaongopee wengine sio humu
 
Wakubwa walikutana!! Wakati upande mmoja unapata vigo vya watu 1,060, na upande mwingine watu 38!!

Kuamini kuwa hao wawili wanalingana, kichwani ni lazima uwe mtupukabisa.

Iran says at least 1,060 people were killed in war with Israel.​

Iran's government has issued a new death toll for its war with Israel, saying at least 1,060 people were killed and warning that the figure could rise.

Saeed Ohadi, the head of Iran's Foundation of Martyrs and Veterans Affairs, gave the figure in an interview aired by Iranian state television late Monday (July 7, 2025).

Israel reported that Iranian strikes killed 28 Israeli civilians and one off-duty soldier, and caused 3,238 hospitalized injuries.
Watu zaidi elfu 3 enjury halafu walikufa 28? Wakati huo huo hakuna anaeruhusiwa kutoa taarifa yoyote? Hivi unaelewa maana 2000kg warheads za super sonic? Zenye kuchimba sq km mpaka 13? Wengi wamezikwa wazima Kwenye zile shelters haki nakuambia myahudi ni mtu mbaya kabisa kawadhulumu raia wake mwenyewe bila sababu maalaum na hii ni kwasababu aliona Syria kamaliza ushawishi wa muIran akajua mdebwedo tu
 
Oyaa yale makombora aisee hapana Iran haina haja ya kuunda nuclear weapons maana zile kombora ni nuke weapons tosha.
Kombora linapigwa hapa mtaa wa tatu watu wanapiga mayowe.
 
Back
Top Bottom