Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

Hamna huko ni kujitetea kutokana na aibu kubwa waliyokutana nayo . Bado Iran ana operate vinu vyake vya nuclear na hataki mazungumzo na mtu.
inaonekana una asili ya kubishana, na inaonekana unasukumwa na itikadi za kiimani. Baki hivyo.
 
Mimi nilicheka zaidi Trump alipoonyeshwa video moja ya wayahudi huko akaona bora asitishe vita na kusema hawa wahuni sijawahi kutegemea kama wana mabomu ya kiasi hiki ingekua Israel anafanikiwa ilikua ni furaha kwa Trump na asingesitisha vita...wale Wayahudi wa Mbalizi hawatakuja kurudia vita na wale wasela wa Iran labda baadae sana..
 
kwa kipigo ambacho israel ametoa kwa Iran,mpaka kuna mtaa kule Iran umepewa jina la NETANYAHU KUDADEK
1755415627013.png
 
Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Tena wanadai Trump aliwaambia, acheni vita, mnashindwa!
Hawa waua Yesu KRISTO wanamatatizo sana sana!
Kula mfupa uuwezao ama sivyo usijaribu!
 
Mkuu niliwahi kusoma sehemu mwezi kabla ya vita hiyo kuanza nasikia Natenyahu alikwenda White House kumuona Trump na kumuomba kwamba kama Natenyahu ataishambulia Iran, basi Trump hasiwe mbali in case mambo yakimwendea vibaya Israel, hii ina maana Israel ilikuwa inajua tangu mwanzo kwamba Iran ina uwezo mkubwa wa kujibu mapigo, na kweli bila Merikani kuingilia kati sijui Natenyahu angefanya nini maana alijua fika kwamba Dunia iliona jinsi missiles za Iran zilivyo kuwa zinakwepa ADS za Israel na kupiga critical designated targets za Israel, vita hii ilikua aibu sana kwa Israel na kama Iran hisingepuuzia ushauri wa Urusi wa kuwapatia very effective air defense system siku za nyuma, basi mambo yangekuwa mabaya sana kwa Israel.
 
Mkuu niliwahi kusema sehemu mwezi kabla ya vita hiyo kuanza nasikia Natenyahu alikwenda White House kumuona Trump na kumuomba kwamba kama Natenyahu ataishambulia Iran, basi Trump hasiwe mbali in case mambo yakimwendea vibaya Israel, hii ina maana Israel ilikuwa inajua tangu mwanzo kwamba Iran ina uwezo mkubwa wa kujibu mapigo, na kweli bila Merikani kuingilia kati sijui Natenyahu angefanya nini maana alijua fika kwamba Dunia iliona jinsi missiles za Iran zilivyo kuwa zinakwepa ADS za Israel na kupiga critical designated targets za Israel, vita hii ilikua aibu sana kwa Israel na kama Iran hisingepuuzia udhauri wa Urusi wa kuwapatia very effective air defense system basi mambo yangekuwa mabaya sana kwa Israel.
Na pamoja na marekani kuingilia na yeye base zake kule Qatar na Bahrain zikashambuliwa na akakubali yaishe. Ila sasa Kuna jamaa zangu hapa huwaambii kitu kuhusu US na Israel 🤣🤣
 
Wakubwa walikutana!! Wakati upande mmoja unapata vigo vya watu 1,060, na upande mwingine watu 38!!

Kuamini kuwa hao wawili wanalingana, kichwani ni lazima uwe mtupukabisa.

Iran says at least 1,060 people were killed in war with Israel.​

Iran's government has issued a new death toll for its war with Israel, saying at least 1,060 people were killed and warning that the figure could rise.

Saeed Ohadi, the head of Iran's Foundation of Martyrs and Veterans Affairs, gave the figure in an interview aired by Iranian state television late Monday (July 7, 2025).

Israel reported that Iranian strikes killed 28 Israeli civilians and one off-duty soldier, and caused 3,238 hospitalized injuries.
Usimuamini musiraeli hata siku Moja Huwa anaficha taarifa z madhara anayopata ili kuficha aibu. Si unajua Tena superpower wa mchongo🤣
 
Tena wanadai Trump aliwaambia, acheni vita, mnashindwa!
Hawa waua Yesu KRISTO wanamatatizo sana sana!
Kula mfupa uuwezao ama sivyo usijaribu!
Siku moja niliwahi kumsikia aliye wahi kuwa bingwa wa uzito wa juu wa ngumi Duniani Mike Tyson waandishi wa habari walimuuliza hivi Yesu akirudi Duniani/yaani Israel unafikiri otakuwaje, Tayson alifikiria kidogo halafu akajibu waandishi wa habari kwamba Yesu akifanya makosa ya kuridi Duniani/Israel Wayahudi watamuuwa kwa mara nyingine TENA!!
 
Mimi nilicheka zaidi Trump alipoonyeshwa video moja ya wayahudi huko akaona bora asitishe vita na kusema hawa wahuni sijawahi kutegemea kama wana mabomu ya kiasi hiki ingekua Israel anafanikiwa ilikua ni furaha kwa Trump na asingesitisha vita...wale Wayahudi wa Mbalizi hawatakuja kurudia vita na wale wasela wa Iran labda baadae sana..
🤣🤣
 
🤣🤣 Eti Israel ikaanza kulalamika Iran anashambulia makazi ya raia badala ya maeno ya kijeshi aise nilicheka sana .
Ilikuwa ni hasara kwa Irani maana makamanda wake wa jeshi walikuwa wanaliwa vichwa yeye anaenda kupiga maeneo ya makazi
 
Back
Top Bottom