Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
HEBU ONGEA KAMA MWANUME KWA HOJA.IRAN KASHINDA KWA ASPECTS ZIPI??
MIMI NASEMA ISRAEL KASHINDA MAANA
1.Alipiga nuclear weapons za iran
huku iran akipiga majengo ya raia mtaani
2.Aliingia anga la Iran na kufanya anachotaka na kurudi bila hata ya ndege moja kudhurika.
HIVYO ISREAL ALISHINDA.

Na wewe leta point zako kutetea hoja yako na huo ushahidi wa israel kuomba vita isitishwe.
 
Mparestina mwenyewe alipewa silaha myahudi anakaa.ndo maana wanapigana Leo kesho kumzuia mparestina kuwa taifa.wanajua parestina ikiwa taifa wataunda jeshi lao.na watapewa silaha na mwisho wa myahudi ndo utakuwa huo
basi kuanzia leo msilete malalamiko ya israel kuonea watu wenu
 
Hata mm nakumbuka nabaki nacheka tu

Telaviv iligeuzwa kitu cha ajabu
Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.[emoji1787]
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
20250816_153946.jpeg
 
Niue mkuu wa majeshi, mkuu wa ujasusi, mkuu wa kitengo cha nyuklia pamoja na wasaidizi wao, niharibu kabisa project Yako ya nyuklia alafu wewe upige bomu manzese uwanja wa fisi, kimboka ama Mwananyamala Kwa kopa pale nyuma ya hospital alafu unajisifu ni mwamba!! huo ni uwendawazimu.
kobazi hawana akili
 
[emoji23]
Hofu kubwa ilitanda Kwa US baada ya kuitwanga ile base ya Qatar, US akaona muajemi Yuko sirias akaitisha ceasefire chap, IDF akakubali muajemi hakujibu akapandisha makombora Kama 30 kuelekea taifa la mchongo, baada ya kuhit targets akasema nimekubali ceasefire, IDF wakarusha ndege eti kulipiza kapiga makazi ya watu. Trump akamwambia Netanyau hizo ndege zikipiga Iran nakuachia mwenyewe mimi simo. Netanyau akarudisha mkia matakoni.
 
Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
HUJUI KAMA AYATOLLAH ALIJIFICHA SHIMONI KAMA PANYA AKIOGOPA KUFA??
 
Wakubwa walikutana!! Wakati upande mmoja unapata vigo vya watu 1,060, na upande mwingine watu 38!!

Kuamini kuwa hao wawili wanalingana, kichwani ni lazima uwe mtupukabisa.

Iran says at least 1,060 people were killed in war with Israel.​

Iran's government has issued a new death toll for its war with Israel, saying at least 1,060 people were killed and warning that the figure could rise.

Saeed Ohadi, the head of Iran's Foundation of Martyrs and Veterans Affairs, gave the figure in an interview aired by Iranian state television late Monday (July 7, 2025).

Israel reported that Iranian strikes killed 28 Israeli civilians and one off-duty soldier, and caused 3,238 hospitalized injuries.
Jumla ya wazayuni wapatao 1000 waliangamizwa na makombora ya Iran katika vita vya siku 12 vya Iran na Israel

[https://emoji] [https://emoji]HES site hacked — devastating Israeli losses revealed:

6 generals, 32 Mossad, 78 Shin Bet, 27 Navy, 198 Air Force, 462 soldiers, 423 civilians confirmed dead.
Iron Dome damage: $11B.
[https://emoji] Iran just changed the game.

#Israeli capitalist Rabbi Salman ended his fight with the regime's Channel 14 with this statement:
"Stop with this lie and mind engineering, the number of Israeli deaths in the war with Iran was 893, not 35! Damn you and your worthless channel!"
 
Population ya Iran na Israel zinafanana ?
 
Mmh Kama kwenye Ile vita unajifanya hauni ni nani alielemewa kwa kichapo basi ni dhahiri huu ni unafiki na kujitia nguvu wakati uhalisia wa mambo ulikuwa bayana. Inaonekana mpaka sasa unapambana na uhalisia ambao hauutaki kabisa
 
Population ya Iran na Israel zinafanana ?
Tatizo siyo population Bali uwezo wa kuzuia shambulizi. Kwanini Iran ulishindwa kuwalinda hao watu wake kimilifu, mpaka akaishia kudanganya alitungua ndege za Israel
 
Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
ww jamaa hujui yaliyoendelea: target ya Ile vita walikuwa wakitafuta justification ya kupiga vinu vya nyuklia vya Waajemi. Kazi ya "B-2 Spirit shealth bomber" ya usiku mmoja masaa machache, mission ikawa "done"

kalaghabaho
 
Nyaunyau akapotea ghafla aonekani alipo🤣
 
ww jamaa hujui yaliyoendelea: target ya Ile vita walikuwa wakitafuta justification ya kupiga vinu vya nyuklia vya Waajemi. Kazi ya "B-2 Spirit shealth bomber" ya usiku mmoja masaa machache, mission ikawa "done"

kalaghabaho
Hamna huko ni kujitetea kutokana na aibu kubwa waliyokutana nayo . Bado Iran ana operate vinu vyake vya nuclear na hataki mazungumzo na mtu.
 
Back
Top Bottom