Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Alifungwa kamba na nani?Unapigana na mtu aliyefungwa kamba unajisifu una mpiga?
Alifungwa kamba na nani?Unapigana na mtu aliyefungwa kamba unajisifu una mpiga?
Ningekua nasukumwa na Imani ningewatetea waisraeli maana Mimi ni mkatoliki. Ila wewe "blood of Jesus " hapana shaka unasukumwa na Jesus"
anga limetekwa, ndege zinajipigia zitakavyo, vinu vishabomolewa,Isingesitishwa taifa teule walikua wanavyunjwa viuno
In short Iran alikuwa anapiga bila mipango wakati mwenzie alikuwa anapiga ki mkakatiHayo makazi walikua wanakaa panya?
upo duniani?Alifungwa kamba na nani?
Uanze kurusha ngumi mwenyewe halafu nikubandue then ukimbie kwa kaka zako kuomba ngumi ziishe 😅😅😅 watu sio wajinga wewe.ulisema pale juu khs Israeli kupatwa na aibu. Aibu gani. Ukasema kuwa vinu vya
anga limetekwa, ndege zinajipigia zitakavyo, vinu vishabomolewa,
for humanitarian reasons wakaona wasitishe vita. Vita siku zote sio nzuri (kwa pande zote) ila kusema kwamba Israeli alimuogopa ama alimshindwa Iran ni kujidanganya.
Acha ndoto wewe. Mpango upi unazungumzia wakati mtu anarusha kombora Toka Iran hadi Israel na Marekani warabu wote wanashindwa kuzuia. Huo wenyewe ni mpango tosha. Mtakubali tu hata kama inaumaaIn short Iran alikuwa anapiga bila mipango wakati mwenzie alikuwa anapiga ki mkakati
Hata mimi huwa siwaelewi kusema kweli, nikisema mapenzi yao kuhusu USA na Israel si bure labda waliwahi kuywa maji ya bendera ya mataifa hayo mawili!!!Na pamoja na marekani kuingilia na yeye base zake kule Qatar na Bahrain zikashambuliwa na akakubali yaishe. Ila sasa Kuna jamaa zangu hapa huwaambii kitu kuhusu US na Israel 🤣🤣
Ushabiki mandaziHata mimi huwa siwaelewi kusema kweli, nikisema mapenzi yao kuhusu USA na Israel si bure labda waliwahi kuywa maji ya bendera ya mataifa hayo mawili!!!
Unatamani kiama?Mwisho wa myahudi ni Moja wapo ya dalili za kiama
mission ilikuwa ni vile vinu, baada ya kupigwa, kazi ikawa imeisha. ni wapi hamuelewi ninyi watuUanze kurusha ngumi mwenyewe halafu nikubandue then ukimbie kwa kaka zako kuomba ngumi ziishe 😅😅😅 watu sio wajinga wewe.
Hivi una akili nzuri kweli mkuu?Hakuna nchi pale middle east wa kubattle na muajemi Kwa technology ya Sasa ilipofikia, Sasa ni kukubali tu na waishi nae Kwa amani, na mwingine anayetengenezwa na muajemi ni Muyemen 5 years ijayo hakuna mpumbavu yeyote atamsogelea muyemen. Sasa hapo muajemi atakaa anakula shisha TU ukikohoa anakufungia bahari zote na anga kupitia muyemen.
Kwamba Israel akipiga yeye ana hit maeneo ambayo sio ya raia,ila Irani ndio haipogi maeneo ya kijeshi bali raia tu.basi sawa.Niue mkuu wa majeshi, mkuu wa ujasusi, mkuu wa kitengo cha nyuklia pamoja na wasaidizi wao, niharibu kabisa project Yako ya nyuklia alafu wewe upige bomu manzese uwanja wa fisi, kimboka ama Mwananyamala Kwa kopa pale nyuma ya hospital alafu unajisifu ni mwamba!! huo ni uwendawazimu.
Kwamba iran haina nyuklia tena?mission ilikuwa ni vile vinu, baada ya kupigwa, kazi ikawa imeisha. ni wapi hamuelewi ninyi watu
Aaah! Sasa mbona na sisi tulikuwa tunaona jinsi ya missiles za Iran zilivyo kuwa zinakatisha anga la Israel na kwenda kupiga mission critical Israel infrastructure za Israel including military bases, Industrial Complexes and even American/Israelulisema pale juu khs Israeli kupatwa na aibu. Aibu gani. Ukasema kuwa vinu vya
anga limetekwa, ndege zinajipigia zitakavyo, vinu vishabomolewa,
for humanitarian reasons wakaona wasitishe vita. Vita siku zote sio nzuri (kwa pande zote) ila kusema kwamba Israeli alimuogopa ama alimshindwa Iran ni
kujidanganya.
Kwa upande mwingine naweza kusema kweli kwa Upande wa Iran Inachekesha sana kwa sababu walitia aibu sana kwa Mambo yafuatayo:Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Marekani kamkimbia muyemen red sea. Kaondoa meli zake na hivi muyemen ndio anajitafuta, subiri uone 5 years utanipa ushuhuda tukijaaliwaHivi una akili nzuri kweli mkuu?
Shambulio la kigaidi Hilo na US mwenyewe alikiri kwba walimzubaisha na mazungumzo fake akajua ni watu wema ndio wakamsuprise na shambulio lileKwa upande mwingine naweza kusema kweli kwa Upande wa Iran Inachekesha sana kwa sababu walitia aibu sana kwa Mambo yafuatayo:
1. Siku ya kwanza tu ya vita June 13 Makamanda waandamizi zaidi 30+ waliangamizwa ndani ya masaa tu kitu ambacho ni aibu kubwa kwa Jeshi linalojinasibu kuwa la kisasa!!
2. Air Defence System zote za Iran zilikuwa hazifanyi kazi hivyo kuruhusu ndege-vita za Israel kuingia na kutoka kama zinaingia chooni kitu ambacho ni aibu kwa nchi kubwa kama Iran anga lake kuwa uchi wa mnyama kiasi hicho.
3. Wanasayansi wa nuclear zaidi ya 60+ waliangamizwa bila huruma yoyote ni aibu sana kwa nchi kubwa kama Iran kushindwa kuwalinda wanasayansi wake hii inachekesha sana sana kuuwawa kwa wanasayansi wengi kiasi hicho kwa wakati mmoja!!!
Hamkosi visingizio!!! Ni ujinga na Upumbavu jeshi kupoteza Makamanda waandamizi wake wote kwa shambulio la siku moja hii inaonyesha wazi ni jinsi gani walivyo wajinga na wasiojua mbinu za Medani. Iran hana cha kujigamba mbele ya jeshi la Israel bado sana hana ubavu wa kuweza kukabiliana na Jeshi hodari la Israel(IDF)Shambulio la kigaidi Hilo na US mwenyewe alikiri kwba walimzubaisha na mazungumzo fake akajua ni watu wema ndio wakamsuprise na shambulio lile