Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
- Thread starter
- #141
1.iran haijaathiriwa kwa lolote katika program yake ya Nuklia na inaendelea na mipango yake na Israel na Marekani imeshindwa kuzuia Iran isiendeleeVita inakua na malengo...unatakiwa ujue malengo ya kila mmoja yalikua yapi na hadi vita inaisha yalikua yamefanikiwa kwa asilimia ngapi...Tukiacha ushabiki ambao hauna maana. Israeli isingekuwepo baada ya miaka miwili kama isingefanya vita. Iran ilikua inakaribia kurutumisha nuklia kwa asilimia 90 ambayo ingetengeneza bomu la Nuklia kwa ajili ya Israeli na Marekani...
Israeli amefanikiwa hivi.
-Kurudisha uwezo wa kutengeneza bomu kwa miaka kadhaa nyuma.
-Kuitia hofu ya usalama Iran kwa kuonyesha wanaweza kuoperate ndani ya ardhi ya Iran na kuondoa viongoz wakubwa wa jeshi na nchi.
-Kuchelewesha uwezo wa Iran kuweza kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa wingi.
-Kudhoofisha serikali ili upinzani upate nguvu ya kufanya mapinduzi katika nchi(kitu ambacho kinaendelea kwa kasi sana Iran).
Iran ilifanikiwa.
-Kuuzidi mfumo wa ilinzi wa Israeli kwa kuushambulia kwa makombora mengi kwa wakti mmoja.
-Kuzuia Israeli isiendelee na shughuli zake za kiuchumi.
Vita ilionyesha udhaifu mkubwa wa kiintelijensia wa Iran ukilinganisha na Israeli ila pia ulionyesha Nguvu kubwa ya teknolojia ya Israeli ya kulenga eneo lolote kwa usahihi ukilinganisha na makombora ya Irani yanayodondoka hadi kwenye mashamba
2. Iran imeshambulia maeneo muhimu ya kijeshi na miundombinu ya kiuchumi nchini Israel, viwanda, Mossad HQ , wizara ya mambo ya nje, power stations, airbases
3.Iran inefanikiwa kuukamata Mtandao wa ndani wa Mossad nchini Iran na kumuangamiza kwa kuwanyonga maajenti wa Israel waliofanikisha mpango wa Israel kuishambulia iran.
4. Iran amefanikiwa kuishambulia marekani nchini Qatar, Kuwait, Bahrain na Iraq baada ya marekani kumsaidia Israel kufanya mashambulizi nchini Iran.
5.Iran hakuwa tayari kusitisha vita ila Israel na Marekani ndio waliomba kusimamishwa mapigano baada ya kuona wayahudi wanapata tabu saa ndani ya nchi ya ahadi ya mchongo kutokana na kipigo cha Iran.
6.