Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Leo umeona jumapili unataka kupunguza Sadaka za watu awa kondooo walishasaau kile kipigošŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Aliyeomba vita isitishwe ndio alioumia . Simple logic 🤣
Imagine ile vita israel angekua anaenda kushinda asingekubali ceasefire šŸ˜€,hali ilishakua tete,pamoja na mashushushu wao ila inavyoonyesha iran technology ya missiles zake aliificha sana,now west watajitahidi kwa miaka kuchunguza zile kombora madhaifu yake,wakishajua wataanzisha tena utata šŸ˜€
 
Hakuna nchi pale middle east wa kubattle na muajemi Kwa technology ya Sasa ilipofikia, Sasa ni kukubali tu na waishi nae Kwa amani, na mwingine anayetengenezwa na muajemi ni Muyemen 5 years ijayo hakuna mpumbavu yeyote atamsogelea muyemen. Sasa hapo muajemi atakaa anakula shisha TU ukikohoa anakufungia bahari zote na anga kupitia muyemen.
 
Iran wastaarabu hawapendi ugomvi shida ipo kwa hawa viherehere wa kuanzisha uchokozi
Israel walikuwa na guarantee US ataingilia mzima mzima, lakini muamko wa watu ulikuwa tofauti kipindi hiki, raia wengi US, veterans, viongozi walikuwa wanakataa kutuma vijana wao wakafe kisa upumbavu wa mtu mmoja anaitwa Netanyahu....

Ilikuwa aibu kwa Israel...

Huko twitter, tiktok n.k wananchi wengi wa US maoni yao walikuwa hawaoni sababu ya US army kuingilia hio vita, hivyo support ilikuwa chini...

Trump akazuga kurusha B-2 , wakarusha vikombora vya kuzugia , halafu huyooo akakimbia, baadae anaongea eti wamefanikisha zoezi la kushambulia vinu... šŸ˜‚ , CIA wanamuambia hakuna kinu kimeharibiwa wala centrifuge, Trump anabishia CIA anasema shambulizi limeharibu mpango wa nyuklia wa Iran...


Mwanzoni sikumuelewa Trump ila baadae niligundua Trump alikuwa anaepuka hio vita ambayo Netanyahu alikuwa anamlazimisha aingie...

Hadi hapo Israel ilikuwa tayari imechapika hovyo... baada ya Israel kuona hakuna matumaini ya US kununua hio vita ikabidi Netanyahu amuombe Trump kuongea na Iran wamalize hio vita... ikawa imeisha.... kiherehere kikamuisha Netanyahu...
 
1000051483.jpg
 
Huo mzozo haukuwa na vilio hivyo kwakweli sikuvisikia walikutana wakubwa kila mtu alilia kivyake.


Wakubwa walikutana!! Wakati upande mmoja unapata vigo vya watu 1,060, na upande mwingine watu 38!!

Kuamini kuwa hao wawili wanalingana, kichwani ni lazima uwe mtupukabisa.

Iran says at least 1,060 people were killed in war with Israel.​

Iran's government has issued a new death toll for its war with Israel, saying at least 1,060 people were killed and warning that the figure could rise.

Saeed Ohadi, the head of Iran's Foundation of Martyrs and Veterans Affairs, gave the figure in an interview aired by Iranian state television late Monday (July 7, 2025).

Israel reported that Iranian strikes killed 28 Israeli civilians and one off-duty soldier, and caused 3,238 hospitalized injuries.
 
Wakubwa wakati upande mmoja unapata vigo vya watu 600, na upande mwingine watu 38!!

Kuamini kuwa hao wawili wanalingana, kichwani ni lazima uwe mtupukabisa.

Iran says at least 1,060 people were killed in war with Israel.​

Iran's government has issued a new death toll for its war with Israel, saying at least 1,060 people were killed and warning that the figure could rise.

Saeed Ohadi, the head of Iran's Foundation of Martyrs and Veterans Affairs, gave the figure in an interview aired by Iranian state television late Monday (July 7, 2025).

Israel reported that Iranian strikes killed 28 Israeli civilians and one off-duty soldier, and caused 3,238 hospitalized injuries.
Population ya Iran na Israel zinafanana ?
 
Back
Top Bottom