mzee Dingi
Member
- Feb 21, 2019
- 60
- 65
Hata mm nilivyoanza kuvuta ganja hii hali haijawahi nirudiaHata Mimi likishawai kunipata kiasi kwamba sikuweza kutamani usiku uungie, maana ilikua kama vile ule usingizi wa maruwe ruwe nusu usingizi nusu macho kitu kinakuja kinakubana/kaba halafu unapata baada ya sekunde chache hali hio inapotea ndio unaamka, ilinisumbua sana nikatafuta ushauri nikambuulia ziro, ikabidi nianze kula kitimoto kila siku, siku moja nikasafiri kuenda mbali nako hio hali ikanitokea, ilinipa huzuni sana nikabidi niwe navuta bangi tangu 2013 mpaka hivi sasa navuta bangi ili nisivamiwe tena na jinamizi.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Tafuta demu wewe acha kulala kiboya wakati unakula wali nazi mihogo naziHabari wana JF,
Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.
Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.
Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.
Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
utalala kwa ubavu ila usiku lazma ujigeuze!!hapo ndo unakutana nae popobawa..Lalia ubavu mkuu usilale kama marehemu kwenye jeneza! Kisha lete mrejesho
Mie hata nigeukeje siwezi kulala ki marehemu 😅😅😅 hio hali ilintesaga wakati niko mdogo nilipokuja kugundua ni ulalaji wa kifala nikabadili mtindo toka hapo sijawahi ota wala kukabwa!utalala kwa ubavu ila usiku lazma ujigeuze!!hapo ndo unakutana nae popobawa..
labda ujiwekee kitu usigeuke usingizini
Utakufa wewe acha kujitesa misosi ni duniani tu.Nenda hospitali ukague afya yako ya moyo.Mimi tatizo kama la jamaa pia ninalo yaani pale usingizi unapoanza kuja tu nahisi kama kitu kinanivaa. Na hubaki kuruka tu hunitokezea muda wowote wa siku hata jana usiku ilitokezea. Mimi mwili wangu wa mazoezi nafanya mazoezi asubuhi na usiku naendesha Baiskeli maili 10. Na kula yangu ya usiku ni matunda tu
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Ukiamka ukijikagua maeneo nyeti hali ipoje, usalama upo au? Unaishi nyumba ya kupanga au ya kwako? Jitahidi usilale ukiwa huna nguo kabisa na pia epuka kupaka marashi.Omba Mungu ukiwa umekaa kabla kwenda kulala, mkabidhi safari yako ya usingizi, mwambie asimame katika lango la ndoto.Na umuombe ikimpendeza akupe nafasi uione siku nyingine na endapo muda umeisha akupe kumaliza safari salama na uwe na mwisho mwema."Ukifanikiwa uje utoe sadaka ya shukrani", alisikika mhubiri mmoja anayeitwa ....🤪Habari wana JF,
Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.
Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.
Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.
Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
Imeandikwa “Yesu ni mjumbe wa agano Na damu ya kunyunyuzia inayonena mema”Unaitumiaje mkuu
...Unapigana nacho vipi mkuu? Mnatupiana nacho ndonga na kupigana vichwa ama mieleka?Hata mm niliwahi kutana na hali hiyo kbs kitu kinanivamia na kunibana pua na mdomo na napigana nacho sn mpk nakishnda kikitoka nahema kwa kasi sn
We unayejua eleweasha watu jinsi ya kutumia hayo maandiko. Au mpaka ulipwe?Imeandikwa “Yesu ni mjumbe wa agano Na damu ya kunyunyuzia inayonena mema”
Unapoenda kwa mganga wa kienyeji anachanja chale au anatoa kafara ya mnyama Au binadamu kinachotakiwa ni damu wakati damu inapotoka mganga anatamka maneno kwa lugha yake.
Inatakiwa yale maneno uyazimishe kwa Damu ya Yesu .
Imeandikwa Tutumie Damu ya Yesu kumshinda shetan Na wafuasi wake
Watu wengi wanauliwa kichwi Na kutolewa kafara hawajuwi kutumia maandiko
Best comment so far [emoji3]kisayansi unapolala usingizi kuna agent(chemical)iliyopo kwenye ubongo ina deploy!
unapokuwa unaota ndoto mbaya ya kutisha au kuishiwa oxgen adrenaline rush ina KICK IN..
hapo kumbuka akili iliyopo wakati umelala ni SUBCONSCIOUS tuu!!
sasa basi adrenaline rush ikishaingia katika mwili ili ujiokoe ndipo tatizo linapokuja la kama kushikwa na jinamizi !
ili kukuokoa usijidhuru ukiwa usingizini hapo sasa inaingia paralysis agent(chemical)nyingine katika ubongo(amygdala).hii chemical inakuzuia kupambana sababu subconscious imeshajua umelala uko ndotoni..
yaani ubongo unafanya kazi kama CCM inatengeneza tatizo yenyewe halafu inatatua hapo hapo!!tehetehe
sio sorry kua straight tu mkuu watu tunataka tiba mimi binafsi nalalaga uchi na ilitokea iyo hali nakuwa kama mtu unakata roho then immediately inapotea iyo hali inapelekea uoga na presha kupanda.plz toa solution unayofaham mkuu.Sory mkuu huo mda wa usiku unalala ukiwa uchi?alafu ukilala usilale chali
Ndio hio hali haitokeagi tena Mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16] tupe mrejesho mkuu, ngada ilisadia au
Hakika umesema vema.Elimu ya duniani na elimu ya Mungu ni vitu viwili tofauti. Kuna wanaosema unalala vibaya na ndiyo maana hali hii inakutokea na wamebase kutokana na elimu ya dunia.
Lakini amini usiamini kuna ulimwengu wa roho kwenye hii dunia ambapo kuna mfalme na mamlaka za giza, majeshi ya mapepo wabaya na wakuu wa giza.
Hayo yanayokaba ni nguvu za giza. Aidha mapepo, majini au wachawi. Jitafute wewe binafsi. Tizama ni wapi umeanguka ili utubu na kumrudia Mungu wako. Hakika ukitubu na uwe unasali hiyo hali itapotea na hutawahi kuiona. Na hiyo hali ikipotea na ukafanya dhambi tena kwa mfano uzinzi nakuhakikishia siku hiyo hiyo usiku utakabwa tena.
I second you, mkuu. Hayo ni mapepo. Aende akafanyiwe maombi.Elimu ya duniani na elimu ya Mungu ni vitu viwili tofauti. Kuna wanaosema unalala vibaya na ndiyo maana hali hii inakutokea na wamebase kutokana na elimu ya dunia.