Paroxysmal Nocturnal Dyspnea (PND) ni dalili ya moyo kufeli, wengi wanadhani wanakabwa na jinamizi kumbe moyo unashida, fika hospitali mapema ufanye vipimo stahiki tatizo linaishaHabari wana JF,
Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.
Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.
Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.
Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
Mkuu, nimekutumia PMAcha uwizadi wako Kuna uhusiano gani baina ya kulala na chumvi
Unalala vibaya na kuathiri utendaji wa mfumo wako wa upumuaji.
Jaribu kwa wiki moja, lala kwa ubavu pekee, usilale chali wala kulalia tumbo, kisha leta mrejesho hapa.
Habari wana JF,
Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.
Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.
Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.
Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
Mkuu sisi waislam unatupa ushauri gani mkuu?.Unavamiwa mkuu, Yesu pekee wa kukuokoa, serious utawekwa huru kabisa na Yesu, hakuna pepo, jini, jinamizi au mchawi anayeweza kugusa mwili wa mtu aliye na Yesu ndani yake
100% 100% 100% TRUEEEEEE. Hiyo hali ilinitesa sana sana sana, tena huku mwishoni ndo ilikuwa mbaya nilikuwa naamka nimechoka viungo vyote vinauma hata kukanyaga chini nakuwa kama nachechemea kwa maumivu. Wakati mwingine wakati wa kupambana nilikuwa naona kabisa kuna mtu yupo chumbani but siwezi kumuona full, kwa kweli niliteseka. Mpaka siku moja Mchungaji wangu aliniita akaniambia kuna vitu ameonyeshwa juu yangu nisipoangalia vitanimaliza, niombe sana, na kaka angu nae akanipigia simu akaniambia ameonyeshwa the same thing, nikaingia kwenye maombi ya kufunga na kuvunja nguvu zote za giza na mchungaji akinisaidia kuomba, baada ya siku 3 nimetoka kazini kurudi nyumbani ile naingia tu chumbani naanza kuomba aisee nilisikia mzinga chumbani kwangu lakini ulitokea juu kwenye gypsum alafu kama kunakitu kinatapatapa niliogopa sana lakini nakajitia moyo nikaomba tena maombi ya kushukuru, toka siku hiyo ndani kwangu kumekuwa huru na mimi nimekuwa huru najiona kabisa nimeachiliwa, jamani sijasumbuliwa na kitu chochote tena, nalala kama mtoto. Na tangu hapo sitaki kuacha kuombaElimu ya duniani na elimu ya Mungu ni vitu viwili tofauti. Kuna wanaosema unalala vibaya na ndiyo maana hali hii inakutokea na wamebase kutokana na elimu ya dunia.
Lakini amini usiamini kuna ulimwengu wa roho kwenye hii dunia ambapo kuna mfalme na mamlaka za giza, majeshi ya mapepo wabaya na wakuu wa giza.
Hayo yanayokaba ni nguvu za giza. Aidha mapepo, majini au wachawi. Jitafute wewe binafsi. Tizama ni wapi umeanguka ili utubu na kumrudia Mungu wako. Hakika ukitubu na uwe unasali hiyo hali itapotea na hutawahi kuiona. Na hiyo hali ikipotea na ukafanya dhambi tena kwa mfano uzinzi nakuhakikishia siku hiyo hiyo usiku utakabwa tena.
Asante mkuu,kwa bwana yesu kila goti litapigwa.Hamna mbadala wa Yesu, kama serious unataka kufika mbinguni na kufunguliwa na hayo mambo ya sijui wachawi sijui kukabwa njoo kwa Yesu Kristo, Mungu akusaidie utii wito huu na utajuta kwanini umechelewa kumpokea Yesu maana ni mzuri ajabu
Asante sana kwa huu ushuhuda.100% 100% 100% TRUEEEEEE. Hiyo hali ilinitesa sana sana sana, tena huku mwishoni ndo ilikuwa mbaya nilikuwa naamka nimechoka viungo vyote vinauma hata kukanyaga chini nakuwa kama nachechemea kwa maumivu. Wakati mwingine wakati wa kupambana nilikuwa naona kabisa kuna mtu yupo chumbani but siwezi kumuona full, kwa kweli niliteseka. Mpaka siku moja Mchungaji wangu aliniita akaniambia kuna vitu ameonyeshwa juu yangu nisipoangalia vitanimaliza, niombe sana, na kaka angu nae akanipigia simu akaniambia ameonyeshwa the same thing, nikaingia kwenye maombi ya kufunga na kuvunja nguvu zote za giza na mchungaji akinisaidia kuomba, baada ya siku 3 nimetoka kazini kurudi nyumbani ile naingia tu chumbani naanza kuomba aisee nilisikia mzinga chumbani kwangu lakini ulitokea juu kwenye gypsum alafu kama kunakitu kinatapatapa niliogopa sana lakini nakajitia moyo nikaomba tena maombi ya kushukuru, toka siku hiyo ndani kwangu kumekuwa huru na mimi nimekuwa huru najiona kabisa nimeachiliwa, jamani sijasumbuliwa na kitu chochote tena, nalala kama mtoto. Na tangu hapo sitaki kuacha kuomba
Nilichogundua kwenye maisha yangu, ni kwamba Mungu huwa anatupa indicators kwenye miili yetu kabla hatujavamiwa na nguvu za giza. Hiyo ni kazi ya Roho Mtakatifu. Anatupa ishara mapema sana. Uwe umeokaka au bado.Hicho kinachokukaba ni pepo wabaya au roho chafu za Ibilisi. Roho hizo chafu huzunguka zunguka duniani wakati wa usiku na kuvizia watu wa kuwasumbua wakiwa wamelala.
Pepo hao huwa active sana mida ya saa tisa usiku mpaka saa tisa na nusu na pia wanaweza kukuvamia muda wowote ule ukiwa umelala.
Unachotakiwa kufanya ni kujitenga na dhambi kabisa kisha uwe unasali mara kwa mara. Yakabidhi maisha yako kwa YESU KRISTO na kwa imani ya KRISTO utayashinda mapepo hayo.
Binafsi nimepambana nayo sana tena sana. Hiyo hali ilianza kunitokea nikiwa bado mdogo kabisa miaka 5 au 7. Kipindi hicho sikujua ni nini. Mama akawa ananiambia hilo ni jinamizi.
Nilipokuwa mtu mzima hali hiyo iliendelea mpaka nilipojifunza ufalme wa MUNGU ndipo nikaelewa hiyo hali ya kukabwa usiku ni kitu gani.
Ilifikia kipindi nikawa nimeshajua kabisa dalili za hizo nguvu kabla hazijanivaa hivyo nikawa nikihisi tu dalili zake naamka kitandani na kuanza kusali kwa imani ya YESU KRISTO.
Naweza sema kwa kiasi fulani nimeshinda hiyo vita maana siku hizi nikilala sina hofu tena. Siyo kama hao pepo hawaji, wanakuja sana mara moja moja, lakini kabla hawajanikaribia haraka kuna taarifa ninaipata na hapo hapo ninaamka na kupambana nao kwa sala na maombi.
Maisha ya UKRISTO ni vita endelevu. Kumbuka maneno ya BWANA YESU KRISTO alisema hivi:
"msidhani yakuwa nalikuja kuleta amani duniani, hapana, bali upanga". Mathayo 10:34
Tena imeandikwa vita yetu sisi siyo vita ya mwili bali ni vita ya roho na pepo wabaya. Waefeso 6:12
Nakutakia mapambano mema. Kwa imani ya YESU KRISTO utashinda na kupata kushinda.
Pole sana mkuu hili tatizo wanalo wengi mno.Habari wana JF,
Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.
Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.
Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.
Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
kijana una malaria, acha ubishi kacheck.Habari wana JF,