Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Kwakweli mnasaidiana vingi siku hizi, soon kutakuwa hamna haja ya mwanamke maana nafasi zetu mnaicheza vizuri kweli,, ukifikia kwenye kuzaa waambie unaowasaidia kwa moyo mmoja wakuzalie msisaidiane mengine tu,, pumbavu
Mbona metoa comment za hasira?
Mkituombaga Msaada baada ya kuwatongoza mara nyingi haya ndio mawazo yenu:
1)Ngoja nimchune na kumsumbua huyu mwanaume boya na mshamba si kajileta.
2)Huyu mkaka sio handsome kabisa, nitamwigizia nampenda, nitamlia vijihela vyake weee na uchi simpi ng'oo.
3)Ngoja nijifanye nimemkubalia ili anihonge vizuri, baadaye nimkimbie.
4)Hanifahamu vizuri ananipa hela, huyu mwanaume ni mjinga kweli.
5)Alinipa elf 10 na wenziee Watano wakinipa elf 10 siku imepita
6)Nina shida ya kipesa hapa mjini, mwanaume mwenyewe mbaya ana kitambi, Akinishika naona kero, nikimwona anakula ni kero, ngoja nijifanye nampenda, nimzalie mtoto, au nimlazimishe anioe ili anipe matunzo, halafu baadae nianze visa nimwache tugawane mali nusu kwa nusu Kapeace Shunie Cillah Mariposa