Nikioa mwanamke mwenye mtoto nitamlea mtoto wake kwa sababu zifuatazo tu!

Nikioa mwanamke mwenye mtoto nitamlea mtoto wake kwa sababu zifuatazo tu!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Baba yake Kafa

2. Alimtelekeza tokea akiwa Tumboni

3. Baba yake akitaka Kumuua

4. Baba yake kasema haikuwa Mimba yake

5. Ndugu za Baba yake wamemkataa

Ila nje ya sababu hizi au kama huyo Mwanamke nitakayemuoa hatonipa hizi sababu Tano ( 5 ) tajwa hapa juu basi atafute kwa kumpeleka huyo Mtoto ( Mwanae ) kwani sitomlea na sitolilea Bao / Goli la Mwanaume Mwenzangu na ikitokea nikamlea bila hiyana basi jua Kiuhakika Roho Mtakatifu ameniingia na amenijaa vilivyo GENTAMYCINE.

Mwenyezi Mungu atusaidie tu.
 
Kuoa mwanamke mwenye mtoto inatakiwa uwe JASUSI high voltage kwa sababu unaishi na mtu ambae anapima upendo wako through care ya mtoto wake

By nature mtu kama mimi sipendi watoto nadhani ninaweza kuoa single mother kama To yeye thubutu
Viumbe vyote ni vyake Mungu Muumba mbingu na nchi.

Watoto walikukosea nini haswa hadi uwachukie Chifu?
 
Hata sisi tulioolewa na masingle father huwa tunateseka sana na mama za watoto ni kila siku kupiga simu kuulizia huyo mtoto anaendeleaje, akiumwa anataka aje amchukue ampeleke hospitali, mara akichapwa shule anataka yeye aende, kila wiki end anataka aje hapo nyumbn kumuona huyo mtoto. Bado kwenye simu ufume msg zao za mahaba, ili mradi mateso tu. Hivyo ukitaka kuolewa na m'ume mwenye mtoto hakikisha mama wa huyo mtoto alishakufa na kaburi lake maua yalishanyauka kabisa
 
Back
Top Bottom