NG'OTIMBEBEDZU
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 1,180
- 595
Kama huyo mama mwenye mtoto amekubali kuolewa na mimi sitakuwa na tatizo na huyo mtoto. Mengine yooote ni sababu ya udhaifu wa binadamu, kwamba ata cheat! Hata hawa tuliowaoa wakiwa hawajazaa kabla wanawezafanya hivyo mazingira yakiruhusu. Kikubwa search team ya kichwa changu iwe vizuri wakati wa kufanya uamuzi wa kuoa huyo mama mwenye mtoto.