GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
AmkeniKumekucha
😂niache bhanaKuoa mwanamke mwenye mtoto inatakiwa uwe JASUSI high voltage kwa sababu unaishi na mtu ambae anapima upendo wako through care ya mtoto wake
By nature mtu kama mimi sipendi watoto nadhani ninaweza kuoa single mother kama To yeye thubutu
Viumbe vyote ni vyake Mungu Muumba mbingu na nchi.Kuoa mwanamke mwenye mtoto inatakiwa uwe JASUSI high voltage kwa sababu unaishi na mtu ambae anapima upendo wako through care ya mtoto wake
By nature mtu kama mimi sipendi watoto nadhani ninaweza kuoa single mother kama To yeye thubutu
Yaliwahi kukukuta nini? Funguka Chifu tunufaike [emoji56]Bila ushahidi wa kaburi ama cheti cha kifo hakuna biashara itafanyika.