Nikioa mwanamke mwenye mtoto nitamlea mtoto wake kwa sababu zifuatazo tu!

Kama huyo mama mwenye mtoto amekubali kuolewa na mimi sitakuwa na tatizo na huyo mtoto. Mengine yooote ni sababu ya udhaifu wa binadamu, kwamba ata cheat! Hata hawa tuliowaoa wakiwa hawajazaa kabla wanawezafanya hivyo mazingira yakiruhusu. Kikubwa search team ya kichwa changu iwe vizuri wakati wa kufanya uamuzi wa kuoa huyo mama mwenye mtoto.
 
Kwa wanawake ni ngumu nyinyi mnacho angalia ni Pesa na maisha mazuri hamtaki kujua watoto wa mwanaume, yani kwa mfano wewe hapo mtoto wa Mengi atake kukuoa atakama ana watoto kumi nje huwezi kumkataa kwa kigezo cha watoto, labda utamkataa kwa vigezo vingine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuoa mwanamke mwenye mtoto inatakiwa uwe JASUSI high voltage kwa sababu unaishi na mtu ambae anapima upendo wako through care ya mtoto wake

By nature mtu kama mimi sipendi watoto nadhani ninaweza kuoa single mother kama To yeye thubutu
Obviously, you are right, woman 'll act like a third party in that relationship ili aone kama unampenda mwanae nae aigize kukupenda[emoji846]

In short, mwanamke akiwa na mtoto anakuwa hana mapenzi ya kweli kwa mwanaume ambaye sio baba wa mtoto wake, bali anabakia kucheza na akili ya mwanaume kulingana na treatment anazopewa mtoto, ndio maana utawasikia wakisema mtoto wangu ndio kila kitu hii inapelekea wasiwe na maamuzi sahihi katika mahusiano na mwanaume ambaye sio baba wa mtoto. Unaweza kuwa nae halafu mtu wa pembeni anachombeza huku akiigiza kumjali mtoto automatically atavunja mahusiano na wewe akiamini mtu mpya ni ana mapenzi ya kweli nae [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Asante Ms Powers!

Tit for tat
 
Halafu Kwa nini single fathers na single mothers wanakwepana sana😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…