Nikioa mwanamke mwenye mtoto nitamlea mtoto wake kwa sababu zifuatazo tu!

Hatuwakatai ila shida vitimbi vya mama mtoto ndio mtu unaanza kujuta
 
[emoji23]niache bhana
Tatizo lenu mna inferiority na hii ndio inaleta shida

Kuna single mother mmoja aliachana na jamaa yake kisa amekachapa katoto kake (haka katoto toto kalifanya kosa la kukataa kula ugari)

Basi mama mtu akasepa kwa jamaa kuwa mtoto wake anateswa akaja kwangu kunishtakia
Nikamuuliza vip kama baba mzazi ndio angekuwa amemchapa mtoto ungeondoka ?
Nikamuuliza tena baba yako mzazi hakuwai kukuchapa je mama yako aliondoka ? Akawa hana majibu

Ushauri tu kwa single mother kuzaa na wrong person ipo na ukishaona umezaa na mtu ambae hauwezi kuolewa nae JITAHIDI SAANA MTOTO WAKO AWE NA TABIA NJEMA kwa sababu TABIA njema zitafanya aishi popote pale hakuna baba mlezi ambae anaweza kuchukia mtoto mwenye adabu na akili
 
Inferiority complex ndio kinachowatesa zaidi
 
75% ya wanaume wanaooa wanawake wenye watoto ukiwachunguza na wao...

Ni men of weak of characters & losers...

Hii 25% wamejifunza kwa wazazi wao kwamba ni normal tu


Mwanaume ambaye ameweka sawa Kila eneo la maisha yake..Anaanzaje hata kutambulisha mwanamke mwenye mtoto au watoto mbele ya wazazi wake,dada zake ndugu jamaa na marafiki...

Eti huyu ndo shemeji yenu hata aibu huoni wanawake walivyojaa hii dunia..

Basi umeshindwa kabisa ishi nae kinyumba kisirisiri au mfanye mchepuko khaaaa..

Eti huyu ndo mke wangu ila hawa sio watoto wangu.Kuna mnyoa kiduku alimtotoresha mi nimeamua kuwachukua sababu siwezi kupata mwanamke mwingine atakayenikubali...

Women hate losers ndo mana hata hao wanawake wenye watoto ukiishia nae baada ya mda lazima akudharau tu moyoni anawaz hili loser lilikosa mwanamke kabisa mpaka likanichukua Mimi na watoto wangu..utashangaa nae anarudi kwa baba watoto wake mara anakudharau..

Anajua kabisa losers can not be trusted..Mara ataanza kujenga kwao kisiri siri..Hawezi kuamini mwanaume mwenye kila kitu anaweza mchagua yeye na watoto wake eti kakosa kabisa mwanamke wa kueleweka...

Huu ni ukweli mchungu
 
Kabisa
 
Aiseee we jamaa,umeandika ukweli mchungu sana sana

Na wangekuwa wanakujua wangeweza hata kukuua kabisa
 
Kama wale kila siku wanalalamika watoto wao hawawajali maranyingi kama si mara zote niwale wazazi waliokimbia majukumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…