Nikioa mwanamke mwenye mtoto nitamlea mtoto wake kwa sababu zifuatazo tu!

Kwenye kikao tulikubaliana sababu ya KUOA single mama na kulea mwanae ni moja pekee; "BABA MTOTO KAFA NA KABURI ULIONE". Hayo mengine mkuu yana muda tu yanalipua nyumba.
 
Kwenye kikao tulikubaliana sababu ya KUOA single mama na kulea mwanae ni moja pekee; "BABA MTOTO KAFA NA KABURI ULIONE". Hayo mengine mkuu yana muda tu yanalipua nyumba.
Kwani singo Maza wamewakosea Nini wajameni[emoji23][emoji23]kila Kona mnawataja
 
Wanawake wengi kwenye ndoa ni wategemezi.

Huwezi kuwa na jeuri ya kukataa ndoa na single father huku wewe ni tegemezi.

Pia wanaume waoaji wapo wachache kuliko wanawake wanaotaka kuolewa. Kwa hiyo ukikataa wewe mwingine anachukua nafasi fasta
 
Kwa mwanaume kijana mwenye vision na focus ya kutajirika maishani, hutakiwi kbs kuwa na girlfriend.

Kama huwezi kuzua lust (nyege), basi kuwa na girl mmoja tu, tena kusex ni mara 1-2 kwa mwaka.

Jifunze sperm retention, epuka unnecessary liabilities. Build your empire!
 
Wanawake wengi kwenye ndoa ni wategemezi.

Huwezi kuwa na jeuri ya kukataa ndoa na single father huku wewe ni tegemezi.

Pia wanaume waoaji wapo wachache kuliko wanawake wanaotaka kuolewa. Kwa hiyo ukikataa wewe mwingine anachukua nafasi fasta
Sio wote lakini
 
Uko sahihi kabisa kiongozi
 
Duu
 
Subiri kwanza unaposema kulea unamaanisha kumlipia ada, kuhakikisha gharama zote za maisha yake unasimamia?? Hapo ni kweli huwezi wala hulazimiki kutimiza hayo, hasa kama baba yake yupo tena hasa akiwa na uwezo wa kuhudumia hayo yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…