Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Nondo hatari, we jamaa ni wale wanaoanza kusali na kuomba kabla hujainuka kukaa kitandani,si wale wanaomfumbata faru John ile hatimiliki ya mh.mwenyekiti!!Hao waliopo kwenye ajira wanaishi milele?
Hao waliopo kwenye ajira Hawatostafu?
Makampuni mapya yanaanzishwa
yatafanywa na hao hao waliopo sasa?...
Hapo umezungumzia kilimo, sasa umeenda shule umeona wanafundishwa hicho kilimo??Hao waliopo kwenye ajira wanaishi milele?
Hao waliopo kwenye ajira Hawatostafu?
Makampuni mapya yanaanzishwa
yatafanywa na hao hao waliopo sasa?
Kwahiyo Daktari anatakuwa yule aliyemaliza form four tu?
Hakimu yuleyule Form four ?
Muuguzi yule yule form four?
Nataka kujua tu Hivi umeacha kufanya mapenzi?kama bado unaendelea unataka mtoto anayezaliwa kutoka kwako akafundishwe na nani shuleni kama hutaki watu waende Chuo?
Hivi umeacha kutumia Internet? Unategemea tukifuata ushauri wako nani atatoa huduma kwenye field ya Network.
Umesahau kuwa bado Nchi inahitaji sana Uzalishaji katika kilimo ? Au unataka tutumie technolojia dhaifu katika uzalishaji nakukumbusha kuwa kwenye kilimo wakemia wanahitajika,Waandisi, na taaluma mbalimbali.Kwenye kilimo bado fursa ipo wazi kabisa tatizo lako umekariri kuwa lazima Uajiriwe.Nakukumbusha tu kuwa Baada ya kumaliza Chuo akili yako ikilala mambo yatalala Ukichangamka na kutumia vizuri field yako Utatoboa haraka sana.Kila taaluma unaweza kufanya shughuli binafsi au kwa kuajiliwa.Acha Julia lia Peleka mtoto Shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ni muhimu, tena sana... Hata huko kujiajiri kama huna elimu na hujitambui utaishia kupata tu hasara na biashara itakufa.
Usije tu ukawanyima watoto wako haki yao ya kusoma kwa kuogopa kupoteza hela mkuu.
Elimu ya kujiajiri siyo zao la elimu ya darasani.Elimu ni muhimu, tena sana... Hata huko kujiajiri kama huna elimu na hujitambui utaishia kupata tu hasara na biashara itakufa.
Usije tu ukawanyima watoto wako haki yao ya kusoma kwa kuogopa kupoteza hela mkuu.
Maadui Wa Tanzania Ni:-Ili Nchi Iendelee Inahitaji:-
1 . Watu
2 . Siasa Safi & Uongozi Bora
3 . Ardhi
Maadui Wa Tanzania Ni:-
...
Adui wa Tanzania ni mmoja tu.Maadui Wa Tanzania Ni:-
1 . Umasikini
2 . Ujinga
3 . Maradhi
4.Ufisadi
Inategemea unajiajiri kwenye nini. Fani zingine lazima uingie darasani mkuu.... Ukitaka anzisha mfano kampuni za Civil/Financial Consultancy/Auditing Firms/IT bila shule haiwezekaniElimu ya kujiajiri siyo zao la elimu ya darasani.
Hiyo taaluma kiasi kikubwa itatumika pale unapotoa huduma kwa wateja wako tu lakini connection za kupata wateja, innovation za kuboresha huduma na ujanja ujanja mwingine ambao ni muhimu zaidi kwenye biashara husika cheti hakitakuwa na msaada wowote.Inategemea unajiajiri kwenye nini. Fani zingine lazima uingie darasani mkuu.... Ukitaka anzisha mfano kampuni za Civil/Financial Consultancy/Auditing Firms/IT bila shule haiwezekani