Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,244
Mwanangu sio kulaaniwa tu wewe ni kenge dah.Mfumo wetu wa elimu na malezi unamuandaa msomi kuja kuajiriwa badala ya kumpa uwezo wa kupambana na changamoto za maisha,hapo ndipo kwenye tatizo.
Miaka minne iliyopita niliacha ajira ya Serikali na kujiari mwenyewe familia yangu yote iliona nimerogwa,na kwa bahati utawala huu umevuraga kabisa sekta binafsi hapo ndiyo naonekana nimelaaniwa kabisa 😥😥😥.