Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,244
Mwanangu sio kulaaniwa tu wewe ni kenge dah.Mfumo wetu wa elimu na malezi unamuandaa msomi kuja kuajiriwa badala ya kumpa uwezo wa kupambana na changamoto za maisha,hapo ndipo kwenye tatizo.
Miaka minne iliyopita niliacha ajira ya Serikali na kujiari mwenyewe familia yangu yote iliona nimerogwa,na kwa bahati utawala huu umevuraga kabisa sekta binafsi hapo ndiyo naonekana nimelaaniwa kabisa 😥😥😥.
Mengi kaajiriwa MkuuBahati mbaya sana kwako akili yako inaamini waliofanikiwa ni wale walioajiriwa tu Bill gate mwajiri wake nani, Mo Dewji anafanya kazi wapi? Dangote mwajiri wake nani? je Reginand Mengi aliajiriwa ofisi gani mpaka anaitoka dunia?
Hahaha una point fulani lakini ni wachache wataelewaHuu mfumo wa kusoma na kulipia ada kuanzia shule ya msingi hadi chuo nadhani upo ili kuwafaidisha watu wachache.
DuhNipo nawaza hapa. Angalau serikali iruhusu watu turudishe vyeti halafu tupewe angalau robo ya ada ili tukafanye mambo mengine. Halafu vyeti vifutwe kabisa. Maana ajira hazipo, na chache zilizobakia ni za connection na za sekta binafsi zinakufa maana sekta binafsi inakufa kwa kushambuliwa na makodi.
Ila kwa sasa tatizo ni kubwa na watu nyomi wanazidi kuingia vyuo na kumaliza.
mwanangu sio kulaaniwa tu ww ni kenge dah.
Hee kumbe na wewe msomi? Hivi mtu kuitwa msomi inabidi vigezo gani!!AlphaMale inaonekana kabisa ulifeli ndo maana unaleta majungu hapa. Kusoma siyo kosa wala siyo tatizo. Elimu ni muhimu sana kuzidi vitu vingi hapa duniani kwa kuthibitisha hili nenda kasome vitabu vitakatifu Kama biblia inasema "Mshike sana elimu usimuache aende zake maana yeye Ni uzima wako". Kwa maana hiyo unapobeza watu kusoma unamkosea Mwenyezi Mungu na anaweza kukuadhibu...
mengi alikuwa mwajiriwa wa serikali kabla ya kuacha na kujiajiriBahati mbaya sana kwako akili yako inaamini waliofanikiwa ni wale walioajiriwa tu Bill gate mwajiri wake nani, Mo Dewji anafanya kazi wapi? Dangote mwajiri wake nani? je Reginand Mengi aliajiriwa ofisi gani mpaka anaitoka dunia?
Na aina ya watu wenye mawazo kama yako ndo Mtaji wa CCM sasaMaana sasa ajira hamna (statistically ajira zipo chache mno), wanaenda kusomea nini cha ziada? mm naona elimu ya form 4 inatosha kabisa kuishi kitaa, mtu akishajua hesabu ya kujumlisha, kutoa, kugawanya, kuzidisha, kusoma na kuandika kiswahili na kingereza, bookeeping inatosha vizuri tu, + kama profesionals wanahitajika, mtu akimudu practicals za kuwa mwanasheria/daktari/rubani etc inatosha sana, kuliko kupoteza miaka mitatu chuo ya kukariri theories za watu wengine...
sasa kiongozi wapokee ada robo wakati umeshakua madesa kama yote 🙂🙂🙂Nipo nawaza hapa. Angalau serikali iruhusu watu turudishe vyeti halafu tupewe angalau robo ya ada ili tukafanye mambo mengine. Halafu vyeti vifutwe kabisa. Maana ajira hazipo, na chache zilizobakia ni za connection na za sekta binafsi zinakufa maana sekta binafsi inakufa kwa kushambuliwa na makodi.
Ila kwa sasa tatizo ni kubwa na watu nyomi wanazidi kuingia vyuo na kumaliza.
Ili Nchi Iendelee Inahitaji:-
1 . Watu
2 . Siasa Safi & Uongozi Bora
3 . Ardhi
Labda uwe umesoma angalau degree 2Hee kumbe na wewe msomi? Hivi mtu kuitwa msomi inabidi vigezo gani!!
Kuna kina Dangote,Mo na Mengi wangapi ukilinganisha na pangu pakavu tia mchuzi...halafu mbona mengi aliajiriwa miaka kibao tuBahati mbaya sana kwako akili yako inaamini waliofanikiwa ni wale walioajiriwa tu Bill gate mwajiri wake nani, Mo Dewji anafanya kazi wapi? Dangote mwajiri wake nani? je Reginand Mengi aliajiriwa ofisi gani mpaka anaitoka dunia?
Thread ya kipuuzi zaidi kuwahi kutokea JF.Maana sasa ajira hamna (statistically ajira zipo chache mno), wanaenda kusomea nini cha ziada? mm naona elimu ya form 4 inatosha kabisa kuishi kitaa, mtu akishajua hesabu ya kujumlisha, kutoa, kugawanya, kuzidisha, kusoma na kuandika kiswahili na kingereza, bookeeping inatosha vizuri tu, + kama profesionals wanahitajika, mtu akimudu practicals za kuwa mwanasheria/daktari/rubani etc inatosha sana, kuliko kupoteza miaka mitatu chuo ya kukariri theories za watu wengine...