wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,404
Elimu ni muhimi sana hata bila ajira,
Elimu ni zaidi ya kuajiriwa.
Tatizo sio mfumo wa Elimu,tatizo ni mtazamo na utamaduni wetu ulivyotujenga juu ya elimu
Kwamba ukisoma lazima uje kuajiriwa imefika wakati sasa tuanze kuitazama elimu kama chachu ya kukujengea uwezo wa akili kufikiri nje ya box ( Logic and problems solving skills)...
kuna mabilionea kibao wa darasa la saba.unaweza usisome na ukatoboa
Hilo linawezekana pia ila ukifatilia vizuri utakuta wengi wamezaliwa kwenye familia bora na wanaendeleza family business so alisoma tu kutoa ujinga ila tangia mdogo aliandaliwa kuendeleza biashara.kuna mabilionea kibao wa darasa la saba.unaweza usisome na ukatoboa
You are rightupo dunia gani?kuna watu wamezaliwa vijijini/familia za chini hata kuandika vizuri hawajui lakini ni mabilionea