Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

Bilion 540 za kujenga matank ya maji Arusha yangetosha kujenga vituo vya afya 108 na chenji ikabaki, sijui kwanini magufuli alipeleka pesa zote hizo kwa watu, waliozoea kuwa na meno yao ya dhahabu.

Una uhakika kweli hizo hela zimeenda? Mpaka leo maji siyo ya uhakika kulinganisha na kiasi hiko unachosema.
 
Una uhakika kweli hizo hela zimeenda? Mpaka leo maji siyo ya uhakika kulinganisha na kiasi hiko unachosema.
Wewe ni punga....hicho kiswahili chako .." hiko" marinda sidhani kama yako salama!
 
Hoja nzuri
 
Kweli! Kwa nini hakuwajengea vyoo watu wa kasikazini? Alikuwa shetani haswa!
 
mbona hujaongelea watu kuendesha magari ya mabilioni asee ?? muache mwenda zake apumzike kafanya mengi na ya maana mno.. ilikuwa suala la muda angefanya mengi zaidi mazuri.. ubaya ndio hivyo katangulia kwa lazima... Tuna mshukuru na bado tulimuhitaji mno.. He is a Man and a half kiukweli.. Mungu ampokee na ampe amani katika mapumziko yake na hata kaburi lake liwe bustani ya malaika wake wema..

Itoshe kusema ongea na walioko sasa ambao wanatupa ma v8 wananunua trends kwa miaka, familia zao zikila tu keki za Taifa..
 
Mleta maada, tumia akili vizuri, why Magufuri tu, Magufuri angeweza kujenga kila sehemu kwa wakati mmoja ? why usimlaum Mkapa, Kikwete n.k,
Shame on You [emoji23]
Aina ya Vipaombele vyake sio sawa.

Ndege
Daraja busisi,
Sgr tembo mweupe,
Kununua Wapinzani,

Na vitu kama hivyo.
 
Nilipoanza kusoma upuuzi wako nikawa nashangaa mbona hujataja Daraja la Aghakan-Coco Beach au penyewe kujengwa juu ya maji ni sahihi ila nongwa ni Daraja la Busisi tu, ulipotaja kuwa wewe ni wa Kaskazini nikakudharau na kukupuuza maana ubaguzi ni jadi yenu.
 
Bilion 540 za kujenga matank ya maji Arusha yangetosha kujenga vituo vya afya 108 na chenji ikabaki, sijui kwanini magufuli alipeleka pesa zote hizo kwa watu, waliozoea kuwa na meno yao ya dhahabu.
Kipindi cha Magufuli Jiji la Arusha lilipewa mirani mingi sana ya maji kuliko Mkoa wowote Tanzania lkn hayo hawayaoni ni ubaguzi umewajaa
 
Tushasema kamwamshe umsemee mpk utosheke umlaze tena mahali pake we msengerema sio kila siku kutuletea mada mtu kajipumzikia kwa amani kabisa.
Acheni kupandisha mada zake sasa mbona Kambarage au Mzee wa Lupaso hampandishi thread zao na wamelifanyia makubwa taifa hili. Huenda kulikuwa na nia ovu mnaipanga nyie.
 
Sahihi kabisa! Tatizo nchi hii hatuna vipau mbele vya Taifa bali kila kinachotekelezwa ni matakwa ya mtawala! Ni hatari sana vipau mbele vya Taifa kuwa matakwa ya Rais badala ya kuwa ndani ya sera za nchi zilizojadiliwa na kuidhinishwa na wananchi.
 
Tushasema kamwamshe umsemee mpk utosheke umlaze tena mahali pake we msengerema sio kila siku kutuletea mada mtu kajipumzikia kwa amani kabisa.
Kwani yule ni mtu ni shetani?
 
Huyu pimbi lazima anaungua na moto tu. Ila huku watu aliowa BRAINWASH bado wanamuabudu. Rot in Hell Magufuli

Umeua sana watu wasio na hatia na kunyang'anya mali zao. Moto wa milele uendelee kukuunguza
Amina!
 
Baada ya kumaliza kufirwa akili yako huwa inahamia matakoni mbwa wewe
mamako ndiyo alifirwa jana usiku hujasikia bado.? Na hujasikia condom ilisuka wakati babako anamtomba mamako na kwa bahati mbaya ukazaliwa wewe. We ni binadamu wa bahati mbaya. Poyoyo ngedere wewe.
 
Huna akili hivi huoni juhudi kubwa zinazofanywa kujenga miundombinu?hata hiyo barabara unayoisema ingejengwa angetokea mwingine pia kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…