Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Wapumbavu hao achana nao, watakupotezea muda bure tu.Kipindi cha Magufuli Jiji la Arusha lilipewa mirani mingi sana ya maji kuliko Mkoa wowote Tanzania lkn hayo hawayaoni ni ubaguzi umewajaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapumbavu hao achana nao, watakupotezea muda bure tu.Kipindi cha Magufuli Jiji la Arusha lilipewa mirani mingi sana ya maji kuliko Mkoa wowote Tanzania lkn hayo hawayaoni ni ubaguzi umewajaa
Kwani kabla ya magufuli mmekula ngapi?Mfano fedha za epa zilichukuliwa au kutumika?si bora huyo alijenga.Bilioni 700 tungejenga barabara km 700!
Eneo hilo mnastahili kuipata hali hiyo;kuna maeneo serilkali ya ccm imefanya mambo makubwa lakini bado hawaitaki ccm.Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege usio na faida, hospitali eti ya kitalii ya rufaa wakati watanzania wengine wanalala maporini wiki nzima.
Magufuli alaaniwe na vizazi vyake vyote kwa ubaguzi huu wa kuibagua nchi ile ile moja hasa kanda ya kaskazini. Alikuwa mbinafsi na mbaguzi sana. Inauma watanzania wengine wanapiga picha juu ya maji barabara nne wengine bidhaa zao zinaoza maporini, hawana chakula, hakuna pa kulala, hakuna choo. Ni bora mgawe nchi kila upande utumie rasilimali zake kujiletea maendeleo yao. Mwendazake alikuwa shetani.
Najua watakuja washamba wenzake wenye roho km ya kwake, wabinafsi k,m yeye ila ukweli uko wazi. Rais mama yetu unahangaika na Ring Road ya Dodoma wakati watanzania wengine wanateseka vile ndani ya nchi ile ile hii siyo fair