Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

Eneo hilo mnastahili kuipata hali hiyo;kuna maeneo serilkali ya ccm imefanya mambo makubwa lakini bado hawaitaki ccm.
Eneo la Handeni,Kilindi Kondoa nk CCM wameisahau lakini wanapenda kuing`ang`ania utafikiri luba. Vuneni mlichokipanda,dadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…