Nikisema mastaa wenu hawana hela hasa bongo sasa Zari wakwenda kuspend element kwa jina alilonalo?

Zaria nasikia ni bilionea Ana mabiashara gani?
Vp nasikia Ana miliki viwanda

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] u billionea wake, tumuachie mwenyeweee.
 
Jamani mtu kaalikwa kuhost show amewekewa dau mezani akatae kwa kuhofia haters [emoji15][emoji1552]
 
Hapo kwenye “hazi” ulitaka kumaanisha “hadhi” au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…