Hizi story za "hear say" huwa mnazitoa wapi?! Unajua kuna uvumi mwingi sana umefanya kipindi cha magufuri. Hata alipokuwa anafanya mambo yake kimya kimya watu walitafsiri anapiga hela. Uzuri wa magufuri hata kama alikuwa anapiga hela alikuwa anaifanyia inchi mazuri zaidi kuliko mabaya.Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Kwa kitu gani kichaa Magufuli umlinganishe na Nyerere? Huku ni KUMTUKANISHA Baba wa Taifa.Mwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog,,low populations
Magufuli ametawala zama hizi za imperialism , digital+high populations
Upo sahihiMwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog,,low populations
Magufuli ametawala zama hizi za imperialism , digital+high populations
Kwasababu wazazi wako walijaliwa wakazaa taka taka unadhani ni kila mzazi ?Malaya wahed badala ya kumsikitikia mama yako kwa kuzaa takataka unahangaika na wanaume.
Bwana mdogo kuna vitu vingi sana huvijui kuhusu utawala wa Magu na Nyerere so kuna muda jitahidi kuficha ujinga wako .Kwa kitu gani kichaa Magufuli umlinganishe na Nyerere? Huku ni KUMTUKANISHA Baba wa Taifa.
Vijana tatizo hamsomi historia ya Tanzania ndiyo maana unamlinganisha huyo mwenfawazimu wa Chato na Nyerere
Lugha hii daaaKwasababu wazazi wako walijaliwa wakazaa taka taka unadhani ni kila mzazi ?
Poor you!
We mliwa kisamvu huna ujualo takataka wahed. Kutwa kujibinua taco kwa wanaume unanishobokea sana.Kwasababu wazazi wako walijaliwa wakazaa taka taka unadhani ni kila mzazi ?
Poor you!
Unaniitaje Bwana mdogo wakati vita vya Uganda nimepigana. Ningekuwa kijijini kwenu pengine ningekuzaa kama ningekutana na mama yakoBwana mdogo kuna vitu vingi sana huvijui kuhusu utawala wa Magu na Nyerere so kuna muda jitahidi kuficha ujinga wako .
Toka lini pesa za Mabwege zikarudishwa?Mwendazake hayupo ,je hizo pesa zimerudishwa ?
Kwa kuongea kiingereza ama?Wewe acha ujinga! JPM ni mbadala wa JKN
Sema walikuwa baadhi ya marais wa nchi hii.Nyerere na JPM ndiyo walikuwa ma rais wa hii nchi.
Janet alizuiliwa kumuona pale Mzena na wamarekani?Na nina hakika bila shaka JPM aliuwawa na USA na bi tozo akapachikwa kwa ajili ya maslahi ya US. Na taarifa alipewa ya kujiandaa kuwa rais akiwa Tanga kutoka ubalozi wa US akatetemeka sana, hakujua mambo haya yanafanyika hivyo. Na shida yote ya Sumu mzee baba alilishwa Morogoro kwenye ufunguzi wa kiwanda cha Rostam. Janeth hakuruhusiwa hata kumuona pale Mzena. Anyway Jiwe hatunae na leo hii hata ufunguzi wa Ikulu ni maagizo ya US kutomtaja kabisa JPM. Ila haepukiki inabidi familia ipokee tu tuzo.
Kwa mwenye akili ya kiupepelezi ndio hint ushapewa anzia hapo. Ukiniuliza zaidi ntakuona poyoyo anaejitia mwenyenazo mbele ya umma.Janet alizuiliwa kumuona pale Mzena na wamarekani?
Kwenye uzinduzi wa kiwanda cha RA, alilishwa hiyo sumu kwa njia gani? Alikula chakula kwenye uzinduzi? Au ni maji?
Unafahamu protokali za rais kula na kunywa sehemu kama hizo?
Kwa maneno yako, ni kwamba walinzi wake walishirikiana na wamarekani kumlisha hiyo sumu?
Tatizo mnamini kila mnacho ambiwaToka lini pesa za Mabwege zikarudishwa?
Hayupo je hizo pesa wamezirudisha na alienda lini kuziweka hizo fedha huko china?Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Kwani Chato ni DRC hapakutakiwa kupelekewa maendeleo au kwenye katiba ilishasema msipeleke maendeleo Chato? Mbona kapeleka maendeleo dodoma mpaka ikulu kajenga hamlalamiki wanajisifu kujenga ikulu ni wengine mbona kajenga Dar mafyover na stendi hamlalamiki mbona kajenga hospital kubwa ya mwalimu Nyerere memories mbona kaweka mradi wa maji Arusha hamlalamiki ila ajenda yenu Chato Chato kwahiyo mlitaka mwili wake ungepelekwa na Lori hadi chato?Yaani mwendazake aliyejenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato kijini kwake unamlinganisha na Mwalimu Nyerere?
Kwani Nyerere enzi zake alikuwa na upinzani?Usimlinganishe Nyerere na magufuli, nyerere was a charismatic, intellectual, visionary,
Diplomatic,
Hotuba zake zimeandikwa, zinaishi,
Magu alikuwa na staili yake, alikuwa hapendi kukosolewa, hataki upinzani, neno lake ni sheria.