Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Hizi story za "hear say" huwa mnazitoa wapi?! Unajua kuna uvumi mwingi sana umefanya kipindi cha magufuri. Hata alipokuwa anafanya mambo yake kimya kimya watu walitafsiri anapiga hela. Uzuri wa magufuri hata kama alikuwa anapiga hela alikuwa anaifanyia inchi mazuri zaidi kuliko mabaya.Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Ila ninyi watoto wa "anko kasema " huwa mna kasumba ya kutojiridhisha mnatumia zaidi maneno ya watu kujenga hoja. Bakini hivyo.