Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Nyerere na JPM ndiyo walikuwa ma rais wa hii nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaNyerere na JPM ndiyo walikuwa ma rais wa hii nchi.
mwalimu hakuwa na chumba kilichojaa dola nyumbani kwakeMwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog,,low populations
Magufuli ametawala zama hizi za imperialism , digital+high populations
Na nina hakika bila shaka JPM aliuwawa na USA na bi tozo akapachikwa kwa ajili ya maslahi ya US. Na taarifa alipewa ya kujiandaa kuwa rais akiwa Tanga kutoka ubalozi wa US akatetemeka sana, hakujua mambo haya yanafanyika hivyo. Na shida yote ya Sumu mzee baba alilishwa Morogoro kwenye ufunguzi wa kiwanda cha Rostam. Janeth hakuruhusiwa hata kumuona pale Mzena. Anyway Jiwe hatunae na leo hii hata ufunguzi wa Ikulu ni maagizo ya US kutomtaja kabisa JPM. Ila haepukiki inabidi familia ipokee tu tuzo.Yote aliyoyasema Mwalimu wakati ule ndio yanayofanyika hivi sasa !!
Sio wajinga hao, ni ma-propagandists na manipulators.Daaa ila nchi hii wajinga mpo wengi sana
Hatujui nini hasa kilitokea !Na nina hakika bila shaka JPM aliuwawa na USA na bi tozo akapachikwa kwa ajili ya maslahi ya US. Na taarifa alipewa ya kujiandaa kuwa rais akiwa Tanga kutoka ubalozi wa US akatetemeka sana, hakujua mambo haya yanafanyika hivyo. Na shida yote ya Sumu mzee baba alilishwa Morogoro kwenye ufunguzi wa kiwanda cha Rostam. Janeth hakuruhusiwa hata kumuona pale Mzena. Anyway Jiwe hatunae na leo hii hata ufunguzi wa Ukilu ni maagizo ya US kutomtaja kabisa JPM.
Maajabu ya karne !!Kawanyima wachina Bandari ya Bagamoyo halafu awapelekee wa mtunzie mapesa? Alikuwa anawafunga wachina na China hajawahi kwenda, ni sawa na kusema Gadaffi alificha pesa Ulaya.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Tulishachelewa wacha tuendelee tuone mwisho wake.Hatujui nini hasa kilitokea !
Na nina hakika bila shaka JPM aliuwawa na USA na bi tozo akapachikwa kwa ajili ya maslahi ya US. Na taarifa alipewa ya kujiandaa kuwa rais akiwa Tanga kutoka ubalozi wa US akatetemeka sana, hakujua mambo haya yanafanyika hivyo. Na shida yote ya Sumu mzee baba alilishwa Morogoro kwenye ufunguzi wa kiwanda cha Rostam. Janeth hakuruhusiwa hata kumuona pale Mzena. Anyway Jiwe hatunae na leo hii hata ufunguzi wa Ikulu ni maagizo ya US kutomtaja kabisa JPM. Ila haepukiki inabidi familia ipokee tu tuzo.
swali ni Moja je ukiambiwa utaelewa?Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
UshahidiNa nina hakika bila shaka JPM aliuwawa na USA na bi tozo akapachikwa kwa ajili ya maslahi ya US. Na taarifa alipewa ya kujiandaa kuwa rais akiwa Tanga kutoka ubalozi wa US akatetemeka sana, hakujua mambo haya yanafanyika hivyo. Na shida yote ya Sumu mzee baba alilishwa Morogoro kwenye ufunguzi wa kiwanda cha Rostam. Janeth hakuruhusiwa hata kumuona pale Mzena. Anyway Jiwe hatunae na leo hii hata ufunguzi wa Ikulu ni maagizo ya US kutomtaja kabisa JPM. Ila haepukiki inabidi familia ipokee tu tuzo.
Zilikua shilingi ngapi mkuu. Na zilitoka kwenye acount gani? Tupe hints tukapekenyue in details..tuwataje hadharani wote walioshirikiHuwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Lile kilikuwa janga.Wewe acha ujinga! JPM ni mbadala wa JKN
Uufanyie nini? Au unaulizia kitu ambacho hata hujui utakitumiaje? Kwa level yako pokea unachoweza kukimudu.Ushahidi
Watu wajinga na wapumbavu kama nyie ndio mnaamini huo ujinga wa kuficha hela China,Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Na jpm amekaa miaka 5 tu madarakani,Mwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog,,low populations
Magufuli ametawala zama hizi za imperialism , digital+high populations