Nikisikiliza hii clip nazidi kuelewa kwanini hayati Magufuli na sasa Rais Ruto anakutana na ugumu katika kuongoza nchi

Yote aliyoyasema Mwalimu wakati ule ndio yanayofanyika hivi sasa !!
Na nina hakika bila shaka JPM aliuwawa na USA na bi tozo akapachikwa kwa ajili ya maslahi ya US. Na taarifa alipewa ya kujiandaa kuwa rais akiwa Tanga kutoka ubalozi wa US akatetemeka sana, hakujua mambo haya yanafanyika hivyo. Na shida yote ya Sumu mzee baba alilishwa Morogoro kwenye ufunguzi wa kiwanda cha Rostam. Janeth hakuruhusiwa hata kumuona pale Mzena. Anyway Jiwe hatunae na leo hii hata ufunguzi wa Ikulu ni maagizo ya US kutomtaja kabisa JPM. Ila haepukiki inabidi familia ipokee tu tuzo.
 
Na nina hakika bila shaka JPM aliuwawa na USA na bi tozo akapachikwa kwa ajili ya maslahi ya US. Na taarifa alipewa ya kujiandaa kuwa rais akiwa Tanga kutoka ubalozi wa US akatetemeka sana, hakujua mambo haya yanafanyika hivyo. Na shida yote ya Sumu mzee baba alilishwa Morogoro kwenye ufunguzi wa kiwanda cha Rostam. Janeth hakuruhusiwa hata kumuona pale Mzena. Anyway Jiwe hatunae na leo hii hata ufunguzi wa Ukilu ni maagizo ya US kutomtaja kabisa JPM.
Hatujui nini hasa kilitokea !
 
Daaa
Na nina hakika bila shaka JPM aliuwawa na USA na bi tozo akapachikwa kwa ajili ya maslahi ya US. Na taarifa alipewa ya kujiandaa kuwa rais akiwa Tanga kutoka ubalozi wa US akatetemeka sana, hakujua mambo haya yanafanyika hivyo. Na shida yote ya Sumu mzee baba alilishwa Morogoro kwenye ufunguzi wa kiwanda cha Rostam. Janeth hakuruhusiwa hata kumuona pale Mzena. Anyway Jiwe hatunae na leo hii hata ufunguzi wa Ikulu ni maagizo ya US kutomtaja kabisa JPM. Ila haepukiki inabidi familia ipokee tu tuzo.
 
Na nina hakika bila shaka JPM aliuwawa na USA na bi tozo akapachikwa kwa ajili ya maslahi ya US. Na taarifa alipewa ya kujiandaa kuwa rais akiwa Tanga kutoka ubalozi wa US akatetemeka sana, hakujua mambo haya yanafanyika hivyo. Na shida yote ya Sumu mzee baba alilishwa Morogoro kwenye ufunguzi wa kiwanda cha Rostam. Janeth hakuruhusiwa hata kumuona pale Mzena. Anyway Jiwe hatunae na leo hii hata ufunguzi wa Ikulu ni maagizo ya US kutomtaja kabisa JPM. Ila haepukiki inabidi familia ipokee tu tuzo.
Ushahidi
 
Waafrika kutwa kulalamika kuhusu kuhujumiwa na wazungu shida hatuna akili timamu ukiwa na akili lazima utafute njia za kujinasua sio kutwa kulalamika as if wazungu ndo watawala wa bara la Afrika.

Shida kubwa la bara la Afrika ni ubinafsi na uroho wa madaraka na kupenda pesa hili kaburu Botha alisha wahi sema muda mrefu sana

"Mwafrika hawezi kujitawala"Botha
 
Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Zilikua shilingi ngapi mkuu. Na zilitoka kwenye acount gani? Tupe hints tukapekenyue in details..tuwataje hadharani wote walioshiriki
 
Back
Top Bottom