Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

Waliniambia kwanini nimeandamana na wakati naweza kujimudu kimaisha?

Nilichowajibu, β€œMimi sio mbinafsi, napambana na kuwasemea wale ambao hawana wa kuwasemea na kuwapambania.”
Mimi siongezi neno nahisi nitakukosea. Sitaki kupishana kauli nawe.
Naweza kusema tu kwa ufupi na wivu mkubwa natamani ningechelewa kidogo kuzaliwa ningejaribu bahati yangu...
Mkuu nisamehe kwa kauli hii.
Nakuweka kwenye kitabu changu cha mashujaa.
Umetetea mustakabali wa uzao wangu na wengine wengi.
 
Good
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Basi mkuu nimekuelewa..!!
 
Kumbe unajua mwanzo walikufa wasio na hatia, sasa ni kipi kinachokufanya uwe mwendawazimu?
Ndiyo natambua wapo waliokufa wasio na hatia na wapo waliokufa huku wakiwa wanastahili hicho kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…