Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

Huo ni ujasiri ambao si wengi wamepewa.

Ukisha-recover na kupata nguvu, urudi utuandikie full story

πŸ˜‚ πŸ˜‚ Aiseeeh, bora hata walikuwepo wa kuwachekesha πŸ˜‚
Nilitaka kuanzisha wimbo wa Mungu ibariki bokasa akaniambia achana nayo inaombea viongozi imba Tanzania Tanzania 😹😹😹
Wanajeshi walicheka wakataka kuondoka tukaanza kuimba wakasimama wakakamaa. Mwanzo ilikua raha sana kabla hatujapitia machozi na damu 😭
 
Ni kweli
 
😹😹😹 Kuna mmoja alijipaka rangi alikua msumbufu, alivyoona polisi akawaita huku anapiga sarakasi ulimuona? 🀣
 
Pole sana Nikita.

Umeonesha dhahiri kuipenda nchi yako. Sio kwa maneno bali kwa vitendo.
Mungu akuponye majeraha urudi kupambania mkate.

Pokea maua yako🌹🌹🌸🌸
Asante kipenzi ❀️
 
Huyo jamaa siyo malaika, siku yako Ilikuwa haijafika.

Kuna jamaa alikuwa anatafuta border ya kwenda kwao, tukawa tumemchorea ramani, wakati sisi wenyewe tunatafuta Chocho ya kuingia mtaani. Tumefurumushwa na marisasi mvua tumekimbia yule jamaa tulie muelekeza border la kwenda kwao ndo alikufa Kwa kupigwa risasi.

Kwa jinsi tulivyofurumushwa kifo nilikuwa nakiona hiki hapa. Naapa Kwa uweza wa MUNGU, hata niacha nianguke katika mikono ya wadhalimu.
 
Naachaje kwa mfano, nilipoona kigamboni kinyonge nikaingia town, balaa likawa kurudi mtaani, maana ishakuwa wa huku wa huku wa kule wa kule!! Ilibidi niwe kama rambo vile

Jambo kubwa kabisa tuko salama, ila haiishi mpaka iishe
Hongereni jamani
Ndugu zetu ninyi ni mashujaaa
Sisi kizazi cha 1989 kurudi chini wakabiri yatakuja kupigwa bakora aseehh...ni wazembe na wajinga sana
Mashujaa tumewaona tunawaombea ,waliotangaulia Mungu awaweke rehmaani
 
Inna lillahi aseehh....Mungu amrehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…