Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

Janja ina semekana uli vuta manzi uka ingia gesti wewe.
Ile mwendokasi ya kwanza kabisa kupigwa mawe na wananchi mida yaa saa mbili na nusu asubuhi nilikua nimepanda; mule ndani. Nilikua nimetokea ilala asubuhi Ile.

Baada ya kupiga kelele na kujinusuru; maana walikua hawajui kwamba Kuna watu mule ndani ya gari.

Pamoja na taharuki ile sijui mzuka hata ulitokea wapi.
 
Vipi hukuiba simu za watu, maana vurugu nyingi kidogo fursa kwako.
 
Kuna jamaa tulifurumushwa wote na askari wakati tunatafuta border kuelekea home, askari walirusha risasi mvua, mbele ya wanajeshi na hatukuwa tumebeba hata mawe.

Sad enough ni kwamba jamaa mmoja alifariki Kwa kupigwa risasi tatu at the back😒 hata wanajeshi ni wanawake tu, wangenipa hata risasi nilipe kisasi raia wenzangu.
 
Naachaje kwa mfano, nilipoona kigamboni kinyonge nikaingia town, balaa likawa kurudi mtaani, maana ishakuwa wa huku wa huku wa kule wa kule!! Ilibidi niwe kama rambo vile

Jambo kubwa kabisa tuko salama, ila haiishi mpaka iishe
Kama mimi nilikotoka mbali shughuli ipo kwenye kurudi 😹😹
Umeenda kuandamania kinondoni halafu unatakiwa kurudi Ilala weeeh sio poa!!
 
Ni malaika kwangu alinisaidia coz yeye alikua anajua mbinu zote za kuikabili hali km ile na zaidi naye alikua na chuma..!!
 
Aisee pole sana.
Hatujuani nje ya ya JF lakini ni kama familia.
Nilikuwa nawacheki km mmelog in wewe, Sergio, Hance etc
Bado Kuna watu sijawaona au pengine tunapishana naamini will log in soon.
 
Wananchi wangekua na silaha tungekua tunaongea mengine πŸ˜₯

Tatizo walikua wanapiga hovyo hadi majumbani, kuna mama alipigwa alikua anatokea hospital 😭😭
 
Mboga 7; hapa penyewe tunapoongelea mabadiliko unatuchora kama shishi food dada Yako.

Wamanyema walikua kina fundikira tu nyie nime wavua vyeo
Janja ukisha vuta makushabu, nyimbo pekee unayo jua nobody can stop reggae.

Janja mi shuruba ndio maisha yangu, hapa penyewe nime vimba ukoko wa mana ntilie.
 
Kama umefatilia picha za waliouawa, na kama umeenda kupata story mbilitatu maeneo ya maduka yaliyochomwa, kuvunjwa na kuibwq mali ni wazi risasi zimewapata wasiohusika na hayo.

Zingewapata hao wezi basi mali tungezikuta barabarani, ila wezi walikua wamejidhatiti, waliiba na kutokomea.
Waliokufa wengi ni boda waliokua wanatoa watu A kwenda B, watu walio majumbani na baadhi ya waandamanaji.

Maana vifo vilianza kutokea baada ya hiyo 29, watu walikua wanatafutwa wauwawe.
 
PM yenyewe umefunga, na mm nisharudi Msangani sahivi may be next time tukionana
 
Hongereni jamani
Ndugu zetu ninyi ni mashujaaa
Sisi kizazi cha 1989 kurudi chini wakabiri yatakuja kupigwa bakora aseehh...ni wazembe na wajinga sana
Mashujaa tumewaona tunawaombea ,waliotangaulia Mungu awaweke rehmaani
Amin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…