Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

Asante kaka!
Mimi nilikua kwenye maandamano ile siku sikua dukani.
Natamani niseme ni Mimi alafu ukisema tukutane nije na gwanda ila ndiyo vile yawezekana ulimkariri sura nitakuja alafu uniumbue bure .

Anyway ,Hongera kwa maandamano ,nafurahi kuona uko salama haijaisha mpaka pale damu za Kaka zetu ,dada zetu na baba zetu zitakapoacha kulilia mioyo yetu 😭😭
 
Jamani πŸ˜€
Hata hivyo sioni dalili za kumpata na sehemu pekee ambayo ni safe JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…