Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
Juzi Kati hapa nimeweka mafuta ya 5000, macho makavu Sina aibu wala Nini 😄😄Bora kwa wakala. Ukute una gari kali halafu unaweka mafuta ya elf tano! Bahati mbaya unahudumiwa na bonge la mrembo mbaya zaidi anakwambia umesahau risiti.
Mimi hata nitoe 500 mbona kawaida tuJaman huwa napata aibu nikitoa chini ya tsh.5,000. je wewe huwa unaona so ukitoa sh ngapi?
Wewe ni wakuja, umeingia mjini unajiona umefika kumbe safari bado, wewe ni kati ya wale nyumba unayoishi huingilii milango wa mbele.Jaman huwa napata aibu nikitoa chini ya tsh.5,000. je wewe huwa unaona so ukitoa sh ngapi?
Ulitisha mzee.. Buku 2 [emoji3][emoji3][emoji3]nakumbuka mm niliwahi kutoa elf 2 pale NMB Mpwapwa ilikua 2009,, aisee stoisahau sku hiyo na teller hakuonesha kujali ila mm nilijistukia sn
Nishatoa chini ya buku
Kuna uck flan mwaka Jana benki ya crdb sijui walijichanganya sasa kuna watu wakajua ile buku ten ambayo haitoki inatoka ila kwa uck ule,,,sasa ikasambaa taarifa through whatapp dah nakumbuka nilikua na cm banking nikafny chap kwa haraka ,nilifurah kinomaUnasema laki kubwa hivyo, mimi ilikuwa 10,000 kwenye akaunti yangu moja hivi aisee ilikuwa inaniumaa
Maisha kuna wakati yanakubana unashindia miwa tu ili upate nguvu ya kutembeaSasa kuna watu eti wanaona aibu kutoa chin ya bku 4, wakati huo huo wengine tunatoa buku 2 ikizd sana buku 3[emoji16]
Maisha bana ufala sana
[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana kumbe wengi huwa tunaitamaniKuna uck flan mwaka Jana benki ya crdb sijui walijichanganya sasa kuna watu wakajua ile buku ten ambayo haitoki inatoka ila kwa uck ule,,,sasa ikasambaa taarifa through whatapp dah nakumbuka nilikua na cm banking nikafny chap kwa haraka ,nilifurah kinoma
Maisha kuna wakati yanakubana unashindia miwa tu ili upate nguvu ya kutembea
Ulitisha mzee.. Buku 2 [emoji3][emoji3][emoji3]
Aibu na wakati ni hela yako.
Me kuna siku nilitamani nitoe mia (100)tigopesa...na ingekuwa inatoka wala nisingejali...
Najivunia busara zenu hapa JF, iam very proud of you girls/women!Mimi sikumbuki lini mara ya mwisho nimetoa zaidi ya elfu kumi