Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
Juzi Kati hapa nimeweka mafuta ya 5000, macho makavu Sina aibu wala Nini 😄😄Bora kwa wakala. Ukute una gari kali halafu unaweka mafuta ya elf tano! Bahati mbaya unahudumiwa na bonge la mrembo mbaya zaidi anakwambia umesahau risiti.