Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

Bora kwa wakala. Ukute una gari kali halafu unaweka mafuta ya elf tano! Bahati mbaya unahudumiwa na bonge la mrembo mbaya zaidi anakwambia umesahau risiti.
Juzi Kati hapa nimeweka mafuta ya 5000, macho makavu Sina aibu wala Nini 😄😄
 
Jaman huwa napata aibu nikitoa chini ya tsh.5,000. je wewe huwa unaona so ukitoa sh ngapi?
Wewe ni wakuja, umeingia mjini unajiona umefika kumbe safari bado, wewe ni kati ya wale nyumba unayoishi huingilii milango wa mbele.
 
nakumbuka mm niliwahi kutoa elf 2 pale NMB Mpwapwa ilikua 2009,, aisee stoisahau sku hiyo na teller hakuonesha kujali ila mm nilijistukia sn
 
nakumbuka mm niliwahi kutoa elf 2 pale NMB Mpwapwa ilikua 2009,, aisee stoisahau sku hiyo na teller hakuonesha kujali ila mm nilijistukia sn
Ulitisha mzee.. Buku 2 [emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]maisha ni ufala sana aisee buku 4000 kuna watu waona aibu kuitoa..
 
Mwanaume Wa Kindondoni Huyo....Endelea kuona aibu hivyo hivyo subiria update million ili usiione hiyo aibu
 
Leo tena sio mda nimetoa buku tatu tena kwa sauti na wakala in Dada tena mkal tu

Mkuu maisha ni ya kwako na APA mjin uchumi umebana ila utanashati na kupendeza vinaficha tu umaskin wetu
 
Unasema laki kubwa hivyo, mimi ilikuwa 10,000 kwenye akaunti yangu moja hivi aisee ilikuwa inaniumaa
Kuna uck flan mwaka Jana benki ya crdb sijui walijichanganya sasa kuna watu wakajua ile buku ten ambayo haitoki inatoka ila kwa uck ule,,,sasa ikasambaa taarifa through whatapp dah nakumbuka nilikua na cm banking nikafny chap kwa haraka ,nilifurah kinoma
 
Sasa kuna watu eti wanaona aibu kutoa chin ya bku 4, wakati huo huo wengine tunatoa buku 2 ikizd sana buku 3[emoji16]

Maisha bana ufala sana
Maisha kuna wakati yanakubana unashindia miwa tu ili upate nguvu ya kutembea
 
Duh! mim mbishi kuna siku nilienda mlimani city na buku mbili nipo ndani kule nakula upepo wa ac, nikasema ngoja ninunue kitu nikachukua ishu flani 1800 ikabaki mia mbili nilikomaa hadi nikarudishiwa chenji, kitu kimeandikwa bei ni 1800, muuzaji nampa buku mbili ananiambia hela imeisha how?!..
 
Kuna uck flan mwaka Jana benki ya crdb sijui walijichanganya sasa kuna watu wakajua ile buku ten ambayo haitoki inatoka ila kwa uck ule,,,sasa ikasambaa taarifa through whatapp dah nakumbuka nilikua na cm banking nikafny chap kwa haraka ,nilifurah kinoma
[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana kumbe wengi huwa tunaitamani
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Ni shida sio ajabu ukawa na shepu ya rungu.. Maana unapungua kinabaki kichwa tu..

Alafu anakuja mtu eti naoma aibu kutoa buku 4....
Maisha kuna wakati yanakubana unashindia miwa tu ili upate nguvu ya kutembea
 
Back
Top Bottom