Nikiwa mdogo niliwahi kucheza draft na Jakaya Kikwete pale Magomeni bila kujua kuwa ni Waziri wa Fedha:Viongozi kuweni wanyenyekevu

Mpaka Dezemba tutasoma mengi kwako,
Unaonaje tuandike kitabu kabisa chapters mtiririko utaanza na mtoto wa Obote, Queens gate, manzi ikiyokunywa whine and etc
 
Waislamu mnapenda Sana kuwasifia Viongozi wa kiislamu hili ni Taifa moja jamani hebu acheni hizo CC Azarel
 
☕️🍵🍵🍵🍵🍵☕️☕️🫖🫖🫖☕️☕️☕️☕️
 

..sio kwamba ni janja-janja ya kuwaandaa wananchi kisaikolojia ili awaibie?

..mbona kwenye maskendo ya upigaji kama escrow hakuwajumuisha?
 
Wewe hilo la kucheza bao? Mimi nliwahi share na kiongozi xxxx demu. Hayo mambo ya kawaida madogo tu hayana tija. Kwa wanasiasa ni kawaida. Jamaa yangu mmoja aliwahi tumia choo kimoja na mtu ambaye alikuwa waziri mkubwa tu....na mwingine aliwahi kuomba sigara awashie yake
 
CHAIIIIIIIIII HAINA HATA SUKARI.
 

Sikupingi Mh Kikwete ni raisi wa aina yake. Anajua kuishi na yoyote. Namfahamu sana.
 
..sio kwamba ni janja-janja ya kuwaandaa wananchi kisaikolojia ili awaibie?

..mbona kwenye maskendo ya upigaji kama escrow hakuwajumuisha?
Hii nchi hakuna awamu ambayo haijaibiwa nadhani unalitambua hilo,yule ambaye alituzuga na kutafuna mahindi ndio aliyesimamia zoezi zima la kutorosha matrillioni ya watu China..kiufupi uwe unazuga wananchi kwa kutafuta public stunts usiwe unawazuga kama ni mwizi mwizi tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…